Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

wewe hujui political analysis. Unasema Mkuu wa Nchi hakubaliki katika jimbo fulani??? Mark my words, mtahangaika sana na kufanya propaganda zozote zile ila JPM ATASHINDA tena uchaguzi ujao na ataongoza hadi 2025.
 
.... Si nyie majuzi mlishikwa na mizuka kwamba Halima Mdee kutukana mjengoni? Angalia mnavyomwaga mitusi hapa...
 
... Nimeona ITV wakina mama wamelala chini kwa mstari na kwamba Nape kwa heshima ya kwao apite akiwakanyaga mgongoni, sikuona mpaka mwisho je alipita akiwakanyaga miongoni na makalioni mwao? Kwa aliye ona mpaka mwisho please....
Kakanyaga Hzo nyunguru kapita, siwezi kumruhusu mamangu
 
Baba sisi waswahili wasahaulifu, 2020 tutakua tushasahau kabisaaa
 
steve nyerere bora atumie jina lake halisi kuliko kuendelea najina la watu. sasa amejiingiza kwenye ukuwadi kufanya kazi zawapinga maendeleo (reactionaries). ndio ametumwa kuandaa mapokezi ya nape jimboni eti wakapanga nape kutembea kwenye migongo ya akina mama waliyolala kifudifudi eti kuonyesha nape anapendwa sana... what a stupid man. ndio yaleyale ya kudeki barabara.
 
mapokezi si alijiandaa ulitegemea iweje. katumbuliwa katumbuliwa tu akajifunze upya kuheshimu wakubwa zake wa kazi
kwani alitukana au alidharau, na wewe acha ufala km jina la lile shule ya msingi kahama
 
Zero brain
 
Kwahiyo kwa leo nape hafai ccm mnatisha
 
Kweli mungu analipa hapahapa,jinsi nape alivyopambana kumzuia lowasa,Leo Jpm kamchinjia mbali,maskini alivyompiginia jpm,Leo kitila mkumbo anakula kuku wakati alikua mpinzani nape analia machozi mmmhiii?
 
yah,unakuta mtu kawekeza time mwisho wasiku mnaalibiana kienyeji,tunakoenda huko itafika hatua watu watatoleana vyuma hadharani.duuh
 
Ccm mmezowea kubeba watu na maroli
Hakuna cha ajabu huko..watu wana njaa sana jimboni kwake..hawana jipya toka nape aingie..wamepewa senti na wamekodishiwa fuso za kuwabeba..hakuna kumbukumbu yoyote kuwa nape amewahi kukubalika jimboni..
B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…