gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Una shida ya kuelewa mantiki?..nilisema kinachowasumbua kwa Samia udini,nikakwambia upinzani dhidi ya Samia ulianza baada ya suala la bandari kwa mwarabuKwahiyo wewe kama muislamu unamtetea Samia kwa sababu aliwapa Bandari waarabu wawekeze na hilo linakufanya uone waliyopinga hilo jambo sio waislamu kwa maana muislamu hawezi kupinga muarabu kupewa bandari awekeze?
Hivi waislamu wanafaidika nini na hao waarabu kupewa hiyo bandari? maana hapo ndipo tulipoanza kuona masheikh wakimtetea Samia.
Sijui kwa nini mnafikiri kwa ufinyu hivi, huyo mtangulizi wake ambaye ni Magufuli mwanzo wa uongozi wake pia hakuanza kwa kupingwa tu ila kadri muda ulivyozidi kwenda ndipo wakatokea waliyokuwa wakimpinga kutokana na aina ya uongozi wake ambao pia mwanzoni walikuwa wakimshabikia.
Na ndio hayo hayo yametokea kwa Samia ila cha ajabu kwa Samia inaonekana et kisa ni muislamu.
Hata kama ni kibaka na isitoshe hana silaha je adhabu yake ni kifo cha kikatili?Huu mtaa ninaoishi ni kitovu cha biashara, na hakuna hata mmoja aliyeibiwa. Walioibiwa ni wachache Ila waliokufa ni wengi.
Polisi watoe ushahidi kwamba wote waliokufa Kwa kupigwa risasi ni vibaka na siyo waandamanaji.
Ndugu yangu … Miaka mi4 sasa hakuna kiongozi aliyewahi kukemea ufisadi na ubadhirifu wa fedha za umma, We huogopi?Kuhatarisha amani kivipi? mbona kuna mafisadi yaliiba hela za Covid 19 huoni walihatarisha amani ya nchi ila bado wameachiwa? Wale waliokula fedha za polisi huoni walichezea amani ila mbona hamkuwagusa.
IPTL watu wanachezea nishati huoni walihatarisha amani ya nchi?. Walichukuliwa hatua gani?
Kwahiyo hao wanaofuatwa nyumbani kwenye hiyo clip hapo wako kwenye maandamano?Mliambiwa mapema hayo mambo ya kuandamana achaneni nayo, mkaona mnaogopwa sana, mkaamua kuandamana na kufanya uhalifu. Mtoto akililia wembe mpe.
kama hajafanya kosa lolote hakuna wa kumsumbua, wewe endelea na mipango ya maandamano ya december utanyolewa pale walipoishia, si mmeamua kumskiliza mange saahv yuko zake kwenye blanketiWee **** zamu yako itafika ni swala la muda tuu
Waislamu ndio mnafundishwa kuteka watu? Kufira mateka, ufisadi na ubadhirilifu wa billions za walipa kodi?Mkuu, hivi ndivyo ilivyo kwa watanganyika walio wengi. Hii vita sio ya uchaguzi wala Chadema wala CCM. Hii ni vita dhidi ya Uislamu na waislamu.
Kwakuwa Rais Samia ni muislamu na mzanzibari.
Period.
Shangaa!Uislam hauna uhusiano na haya yote kwani Bakwata ndiyo huwatuma Polisiccm kuteka kuua kuwabambikia watu kesi kienyeji?
Mkiulizwa mnapata faida gani na familia zenu kwenye huu mfumo wa mauaji,utekaji, wizi, kesi fake and all undemocratic nonsense, una jibu au? Siku wakikupitia akili itarudi na kumbuka kuna waliopigwa risasi wakitoka kuipigia kura CCMkama hajafanya kosa lolote hakuna wa kumsumbua, wewe endelea na mipango ya maandamano ya december utanyolewa pale walipoishia, si mmeamua kumskiliza mange saahv yuko zake kwenye blanketi
Kufanya uhalifu na kukimbia siyo suluhisho, utafuatwa huko huko ulikoenda kujificha. Hao Wahalifu wajue walipolala wao, wenzao ndiyo walipoamkia.Kwahiyo hao wanaofuatwa nyumbani kwenye hiyo clip hapo wako kwenye maandamano?
Au hauna bando la kuangalia video clips tukutumie .
Waliotekwa na kuuwawa kabla ya tar 29 walivamia mali za nani?Kabla ya kufika zamu yake utaanza wewe kwanza shithole mkubwa. Mvamie mali za watu eti wawaangalie tu!!
Mjinga ni mjinga tu hata awe sayari ya Mars.Hunijui wala sikujui, umejuaje kiwango changu cha elimu.
Mimi niko mbali sana na Tanzania, time zone difference ni masaa kumi. Naamka na siku ya jumamosi muda huu huko Tanzania ni ijumaa.
Mkundugu wewe.
Hawa fomufo felia wana photographic memory za kunasa sura za waliofanya uhalifu na kukimbia?Kufanya uhalifu na kukimbia siyo suluhisho, utafuatwa huko huko ulikoenda kujificha. Hao Wahalifu wajue walipolala wao, wenzao ndiyo walipoamkia.
Umeona eehh....yaani huyu maza watu tulijua atakuja kua bonge la kiongozi,kumbe ni shaitwaan mmaridi yeye na genge lake kule juu,kiongoiz asipingwe kisa udini wanaweka udini mbele kisa maslahi yao binafsi tuMara Tec mara Mangekimambi, huyu Samia alipoingia madarakani mwanzoni watu wengi walikuwa na matumaini nae akiwemo na huyo Mange,hakukuwa na issue ya uislamu wala uzanzibari.
Alikuwa anapingwa Magufuli na makanisa yalikuwa yanatoa matamko kukosoa utawala wa Magufuli na yakapangwa hadi maandamano na huyo Mange alikuwa kinara kuchochea hayo maandamano ila ajabu kwa Samia inaonekana kisa et uislamu wake.
Sasa huyo Samia ana uislamu gani au Huo wa kuvaa shungi? Mnatutia aibu tu waislamu mnateta upuuzi na hoja za kipuuza. Samia sio kiongozi wa uislamu na wala hana manufaa yeyote kwa waislamu wa Tanzania.
Sahihi kabisa akapewa nafasi ktk bakwata hukoo...ila huku hakumtoshi kama kua Kiongozi kwanza hana sifa,Aliona Mungu kamtunuku kumbe kampa mtihani mkubwa mnoo na mpk dkk hii kipindi cha pili kashafeli mpk kufeli tena ,hana ajualo zaidi ya dharau tu na kebehi.Sijui hata wana akili ya aina gani? Wao wamchukue na kumpa uongozi kwenye uislamu hawatoona watu wakimkosoa ila sio unakuwa kiongozi wa nchi halafu watake asikosolewe kisa ni muislamu.
Huo MWILI unaubebesha mzigo maana bichwa lako ni bumpkin.Walikuwa wezi na waharibifu video tumeona, walichokipata walikitafuta. Usionee huruma mtu wa hivyo. Wengine wajifunze, hili siyo Taifa la kihuni.
Mseng.e wewe ni kilaza mkubwa uliyetawaliwa na uislamu ambao umechabganyikana na ujinga wa asili.Hunijui wala sikujui, umejuaje kiwango changu cha elimu.
Mimi niko mbali sana na Tanzania, time zone difference ni masaa kumi. Naamka na siku ya jumamosi muda huu huko Tanzania ni ijumaa.
Mkundugu wewe.