Hongera kwa kurejesha Imani.Huyu mama yuko simple na mkweli, anaeleza kama ilivyo na kuwa tayari kurekebisha badala ya kutukana au kulaumu laumu mabeberu.....
Binafsi huwa nimewachoka na kuwakinai wanasiasa, kwa hii video inaonyesha bado kuna wachache wanaoweza kufuatiliwa....
https://www.jamiiforums.com/data/video/5140/5140584-86773b1d7947ca2dfb9ae2c9549679eb.mp4
Jinsi mlivyo low self esteem mnafikiri wakenya watakuja waokoa mkiwabia ujinga.Huyu mama yuko simple na mkweli, anaeleza kama ilivyo na kuwa tayari kurekebisha badala ya kutukana au kulaumu laumu mabeberu.....
Binafsi huwa nimewachoka na kuwakinai wanasiasa, kwa hii video inaonyesha bado kuna wachache wanaoweza kufuatiliwa....
https://www.jamiiforums.com/data/video/5140/5140584-86773b1d7947ca2dfb9ae2c9549679eb.mp4
Sishangai maana Wazanzibar kwa asili huwa hawana unafiki kama sisi kutoka Bara, wanasimamia misimamo yao na wapo tayari hata kufa kwa kusema ukweli...Huyu mama yuko simple na mkweli, anaeleza kama ilivyo na kuwa tayari kurekebisha badala ya kutukana au kulaumu laumu mabeberu.....
Binafsi huwa nimewachoka na kuwakinai wanasiasa, kwa hii video inaonyesha bado kuna wachache wanaoweza kufuatiliwa....
https://www.jamiiforums.com/data/video/5140/5140584-86773b1d7947ca2dfb9ae2c9549679eb.mp4
Tusijidanganye mkuu, sasa hivi hatuna kabisa upinzania Tanzania. Wote wanafiki tu, wamenikatisha sana tamaa na sidhani kama nitakuja kupiga kura...Jinsi mlivyo low self esteem mnafikiri wakenya watakuja waokoa mkiwabia ujinga.
Kajiulizeni how come chadema wamepita risasi na moto ila wapo ready hata kesho kupiga show moja na kesho yake kuingia uchaguzi na ccm na bado ccm bila polisi na time ya uchaguzi wasishinde.
Kama Jecha, si ndiyo?Sishangai maana Wazanzibar kwa asili huwa hawana unafiki kama sisi kutoka Bara, wanasimamia misimamo yao na wapo tayari hata kufa kwa kusema ukweli...
Usiangalie mtu mmoja, angalia majority...Kama Jecha, si ndiyo?
Kwani Samia analazimishwa kuendelea kuwa Rais wa Tanzania?Daa,nimemwangaliaaa...
Then nimeprove kuwa uongozi ni kaz kweli kweli....nje ya siasa...niseme tu namwonea huruma mama Samia....pole kwa kaz Rais wetu
Wengi ni waongo na wavivu.Usiangalie mtu mmoja, angalia majority...