Video: Rais Samia amesababisha nianze kurejesha imani yangu kwa wanasiasa

Tulia wewe nyang'au. Subiri Ruto na Gachagua wawafyonze vizuri nyie. Huna haja ya kuingilia siasa za bongo.
 
Daa,nimemwangaliaaa...
Then nimeprove kuwa uongozi ni kaz kweli kweli....nje ya siasa...niseme tu namwonea huruma mama Samia....pole kwa kaz Rais wetu
 
Yuko vizuri tena mtulivu.
 
Huyu mama yuko simple na mkweli, anaeleza kama ilivyo na kuwa tayari kurekebisha badala ya kutukana au kulaumu laumu mabeberu.....
Binafsi huwa nimewachoka na kuwakinai wanasiasa, kwa hii video inaonyesha bado kuna wachache wanaoweza kufuatiliwa....

https://www.jamiiforums.com/data/video/5140/5140584-86773b1d7947ca2dfb9ae2c9549679eb.mp4
Jinsi mlivyo low self esteem mnafikiri wakenya watakuja waokoa mkiwabia ujinga.

Kajiulizeni how come chadema wamepita risasi na moto ila wapo ready hata kesho kupiga show moja na kesho yake kuingia uchaguzi na ccm na bado ccm bila polisi na time ya uchaguzi wasishinde.
 
Sishangai maana Wazanzibar kwa asili huwa hawana unafiki kama sisi kutoka Bara, wanasimamia misimamo yao na wapo tayari hata kufa kwa kusema ukweli...
 
Jinsi mlivyo low self esteem mnafikiri wakenya watakuja waokoa mkiwabia ujinga.

Kajiulizeni how come chadema wamepita risasi na moto ila wapo ready hata kesho kupiga show moja na kesho yake kuingia uchaguzi na ccm na bado ccm bila polisi na time ya uchaguzi wasishinde.
Tusijidanganye mkuu, sasa hivi hatuna kabisa upinzania Tanzania. Wote wanafiki tu, wamenikatisha sana tamaa na sidhani kama nitakuja kupiga kura...
 
Daa,nimemwangaliaaa...
Then nimeprove kuwa uongozi ni kaz kweli kweli....nje ya siasa...niseme tu namwonea huruma mama Samia....pole kwa kaz Rais wetu
Kwani Samia analazimishwa kuendelea kuwa Rais wa Tanzania?
Kwani ni lazima aendelee kukalia hicho kiti hata kama hakimfai?

Kwanini usimshauri tu aachane na mambo ya urais?
 
..Rais Ssh anadai Mungu ndio amesababisha Tanzania kushuka toka uchumi wa kati!!
 
Back
Top Bottom