Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

Fateema njo udili na watu wako huku aisee me naenda zangu kulala. Your people are so boring. Hawataki kujifunza vitu vipya.

Ciao
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Fateema njo udili na watu wako huku aisee me naenda zangu kulala. Your people are so boring. Hawataki kujifunza vitu vipya.

Ciao
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Pole Sana mkuu for the experience. Watu wengine sio waelewa kabisa.
 
Mkuu kama ikikupendeza tunaomba source hapo namba 3.
 
Watu na imani zenu. Vipi yule genius wa Tanzania yeye anasemaje?
 
You claim to be a player,but I fuc your wife.kwa huo wimbo huu mstari huwa naukubali,Kuna snich boya flani nilimfanyia hivi.
 
Kwanini unakubali kutekwa akili na Mpumbavu mmoja kisa yye anasema hiv na ww unakubali kweli ww umemaliza hata Darasa la Saba vyema... Kwahiyo mi nikikwambia naweza kumsikiliza paka akilia au ndege utasema kweli tupilia mbali
 
Wabongo ama sijui niseme binadamu wengi sio watu wakuchambua mambo aisee! Watu wanaongelea kama vile mna m-diss 2pac ama mna m-prove kwamba hakua bora!
HIvi watu huwa wanashindwa kuchananua neno moja moja bila kuipa maana sentensi nzima? Mimi binafsi sijataka hata kujua nini ni nini ila nmezingatia maelezo na yamenifikirisha mana kuna muda hata sisi binadamu huwa tunapandwa na hizo pepo bila kujua unajikuta kuna mambo unaongea kwa akili ya kawaida unaona kabisa hapana huu ufikiri kuna muda kama uliongezeka zaidi. Sema watu wengi hatufatilii hivi vitu
 
Kwanini unakubali kutekwa akili na Mpumbavu mmoja kisa yye anasema hiv na ww unakubali kweli ww umemaliza hata Darasa la Saba vyema... Kwahiyo mi nikikwambia naweza kumsikiliza paka akilia au ndege utasema kweli tupilia mbali
I am a critical thinker. Naheshimu mawazo ya mtu kama ninavyo yaheshimu mawazo yako.

A critical thinker always changes his mind when faced with better arguments
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…