Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Wabongo bhn hamuishiwagi maneno [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora nifanye mwenyewe tu....
Hili ndo tokeo lake!. Hataki kula na watu
 
Ulimbukeni ndio unao kutesa.
Km ni mgodini ww ulitaka aanze kwenda msanii yupi ndipo yy afuate ili uridhike?
 
Bado Ney wa Mitego,aendelee tuu kuweka Ligi na Serikali wanaomsifia Leo hatowaona kwenye shida
Angeimba nyimbo za kuwasifia, haki ya nani mngekenua mpaka magego yangeonekana. Ila kwa sababu anawachana ukweli, eti mnamuombea njaa. Watu wa hovyo kabisa.

Mimi ndiyo maana ukiniambia nichague kati ya andazi na CCM, moja kwa moja nitachagua andazi. Sina tofauti na Roma Makatoliki.
 
Kuna maeneo wasanii wanadharau kufanya show lakini pana hela ni huko pori.

Hapo najua amelipwa zaidi ya milioni 1, sasa angekuwa amekaa DSM kusubiri show za Fiesta au Wasafi atalipwa hizo hela?

Akifanya shows nyingine za hivyo walau 3 atakuwa amekusanya zaidi ya mshahara wa Mkuu wa Mkoa.

Tuwaache Vijana wafanye kazi huku wakikusanya maokoto kwaajili ya familia zao na watoto wao.
 
Anakubalika uko balaa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…