GE2025 VIDEO: Samia aibuka, akabithiwa cheti cha ushindi. Huyu mtu anatudharau sana Watanganyika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Nyasi-Man

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2023
Posts
1,003
Reaction score
2,236
Baada ya kuwa mafichoni, hatimae karejea kwa kificho ili akabithiwe cheti cha ushindi aliopora kwa mtutu wa bunduki. Habari mbalimbali zinatabaruku kuwa ataapishwa haraka haraka then arudi mafichoni mpaka hali ya sintofahamu itakapotulia.

Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini tunaofanyiwa mbele ya macho yetu?

View attachment 3496405
Faki zem!
 
Jwtz wamemkubali mnoo
1000187720.jpg
 
Kwa muonekano hana furaha hata kidogo.

Na hata mwili wake umepungua ghafla ndani ya siku chache
 
Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini tunaofanyiwa mbele ya macho yetu?
Mkuu ngumu kumeza. Raia hatuna silaha Tumefanya sehemu yetu tukitegemea jeshi la wananchi litachukua nchi ajabu ni kwamba wamekuja na kisingizio.

Hadi sasa sina nguvu asee mbaya zaidi nimeshuhudia kijana mwenzangu akinifia begani mwangu inaniuma mnooo

Jeshi mmezingua sana.
 
So sad bro, Mungu ampe pumziko la milele shujaa huyu aliefia vitani akiipambania nchi yake iliyojaa dhuluma na uovu🙏
 
Ukimuangalia tu unaona ni mateka wa wahuni kwa sasa.

Lakini hii mijamaa ni mikorofi na mibishi kweli.
 
Back
Top Bottom