GE2025 VIDEO: Samia aibuka, akabithiwa cheti cha ushindi. Huyu mtu anatudharau sana Watanganyika

GE2025 VIDEO: Samia aibuka, akabithiwa cheti cha ushindi. Huyu mtu anatudharau sana Watanganyika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Leadership is not only in peace time but also in chaotic time, there are people who have that knowledge and experience. A State is not a village and Presidential Office is an institution not a person, We have to stop misleading young people for our own interest while we have stayed abroad.
 
The genie is out of the bottle watawala endeleeni kuziba masikio vijana wa sasa sio wale wa kukata mauno wa Bongo fleva.
 
Baada ya kuwa mafichoni, hatimae karejea kwa kificho ili akabithiwe cheti cha ushindi aliopora kwa mtutu wa bunduki. Habari mbalimbali zinatabaruku kuwa ataapishwa haraka haraka then arudi mafichoni mpaka hali ya sintofahamu itakapotulia.

Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini tunaofanyiwa mbele ya macho yetu?

View attachment 3496405

Kweli hiki ni Chama Cha Majambazi.
 
Leadership is not only in peace time but also in chaotic time, there are people who have that knowledge and experience. A State is not a village and Presidential Office is an institution not a person, We have to stop misleading young people for our own interest while we have stayed abroad.
Is there any discernible manifestation of leadership?
 
Dawa sasa ni ku deal na hao wateeule one by one...wataogopa snaa hawatarejea ilaa bila ivo kinachofataaaaaaaaa ni zaid ya maumivu

Hao wanaotudharau wote hawastahili kua hai tena
 
01 November 2025
Nairobi, Kenya

President Samia Suluhu Hassan has been declared the winner of Tanzania's presidential election

View: https://m.youtube.com/watch?v=wXdCfa_r1ms

Securing another term in office amid days of unrest across the country. According to the electoral commission, Suluhu won 97.6% of the votes cast in Wednesday's election. International observers have expressed concerns over the lack of transparency and widespread turmoil that has reportedly left hundreds of people dead and even more injured.
 
Back
Top Bottom