Faki zem!Baada ya kuwa mafichoni, hatimae karejea kwa kificho ili akabithiwe cheti cha ushindi aliopora kwa mtutu wa bunduki. Habari mbalimbali zinatabaruku kuwa ataapishwa haraka haraka then arudi mafichoni mpaka hali ya sintofahamu itakapotulia.
Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini tunaofanyiwa mbele ya macho yetu?
View attachment 3496405
Huyu lazima wamle kichwa, acha tuone hili saga linaishia wapi. It pains a lotMuachie Tundu Lissu John Heche tufanye Reforms ili uchaguzi HURU na wa HAKI ufanyike
Jwtz wamemkubali mnoo
View attachment 3496406
This bitch need to be executed
Mkuu ngumu kumeza. Raia hatuna silaha Tumefanya sehemu yetu tukitegemea jeshi la wananchi litachukua nchi ajabu ni kwamba wamekuja na kisingizio.Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini tunaofanyiwa mbele ya macho yetu?
Huyu mhaini hana maisha marefu kwa uovu anaoufanya.Kwa muonekano hana furaha hata kidogo.
Na hata mwili wake umepungua ghafla ndani ya siku chache
Aende zake atupishe.Kwa muonekano hana furaha hata kidogo.
Na hata mwili wake umepungua ghafla ndani ya siku chache
Au siyo. Kazi na utuJembe la kazi hongera sanaa.. Wahuni walioandamana tunaenda kuwafanya vibaya mnoo
View attachment 3496408
So sad bro, Mungu ampe pumziko la milele shujaa huyu aliefia vitani akiipambania nchi yake iliyojaa dhuluma na uovu🙏Mkuu ngumu kumeza. Raia hatuna silaha Tumefanya sehemu yetu tukitegemea jeshi la wananchi litachukua nchi ajabu ni kwamba wamekuja na kisingizio.
Hadi sasa sina nguvu asee mbaya zaidi nimeshuhudia kijana mwenzangu akinifia begani mwangu inaniuma mnooo
Jeshi mmezingua sana.
Soon anaenda kujikataa mwenyewe...... Killing 700 plus innocent Tanzania fighting for their rights kwako ni sherehe si ndio?Jembe la kazi hongera sanaa.. Wahuni walioandamana tunaenda kuwafanya vibaya mnoo
View attachment 3496408