Jembe la kazi hongera sanaa.. Wahuni walioandamana tunaenda kuwafanya vibaya mnoo
View attachment 3496408
Baada ya kuwa mafichoni, hatimae karejea kwa kificho ili akabithiwe cheti cha ushindi aliopora kwa mtutu wa bunduki. Habari mbalimbali zinatabaruku kuwa ataapishwa haraka haraka then arudi mafichoni mpaka hali ya sintofahamu itakapotulia.
Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini tunaofanyiwa mbele ya macho yetu?
View attachment 3496405
Njia ya kutuvunja moyo tujikaze tupambaneKwahiyo tumeshindwa jamani dah !!!!!!!!!!!
Kimefanya mapinduziKweli hiki ni Chama Cha Majambazi.
She will never find peace kwenye maisha yake yote hapa dunianiUkimuangalia tu unaona ni mateka wa wahuni kwa sasa.
Lakini hii mijamaa ni mikorofi na mibishi kweli.
Is there any discernible manifestation of leadership?Leadership is not only in peace time but also in chaotic time, there are people who have that knowledge and experience. A State is not a village and Presidential Office is an institution not a person, We have to stop misleading young people for our own interest while we have stayed abroad.