PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unavofikiri wewe kutangaza hadharani kuwa utazuia uchaguzi sio kosa?
Basi Kama utakua unadhani hivyo basi tuishie hapa.maana hata yeye lisu kasema anajua kuwa anachotangaza kukifanya ni uvunjifu wa katiba na ni uasi Katika nchi.kama wewe hulijui hilo lisu analijua Na kajiandaa kwa gharama zake bila shaka.
shida ipo kwa wafuasi wake,je na wao wamejiandaa au wanapelekwa tu kama wafuasi wa kibwetere?
 
Lord denning ananyea ndoo sahv πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa mbona hao Wananchi hawamsaidii wanapiga tuu makelele yasiyo na maana ?

Ndio maana nawaambia kujaza.mikutano hakunaga maana hapa Tanzania Kwa Upinzani
Watanzania ni wajinga sana tena waoga sana iv pale loitokitoki kenya polis anaeza mkamata kiongozi mkubwa kwenye mkutano wa hadhara kama huo raia wakakubali
 
Huu ni ujinga na uoga usio na maana watu zaid ya 1000 mnashindwa kuzuia kiongoz wenu kuchukuliwa
 
Kwa Tanzania yetu bado sana mkuu unafikiri kama ni majiran zetu kenya nini kingetokea apo
 
Watanzania ni wajinga sana tena waoga sana iv pale loitokitoki kenya polis anaeza mkamata kiongozi mkubwa kwenye mkutano wa hadhara kama huo raia wakakubali
Nyumbu wanajua kushangilia tuu hawana lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…