Video | Serikali ya Djibouti yavunja mkataba na DP World kuhusu uendeshaji wa bandari ya Doraleh

Kwahiyo kupitia mikataba Yao hiyo hiyo unayoisema jibout imeshindwa MAHAKAMANI lakini wewe unataka kujiingiza shauri yenu.
Tena sisi ndio tunabahati sana ya kujifunza kuwa wenzetu walishindwa wapi sio tuwe kama nyumbu bila hata ya kufikiri.
 
Sijui kama hiyo vidio umeisikiliza vizuri na mpaka mwisho.Haina uhusiano wowote na azma ya Tanzania kupanua bandari na malengo yake. Kilichotajwa kuchochea Djiboti kutaka kufanya hivyo ni siasa zao na UAE na hofu zao za kikanda. Sisi Tanzania hatuna uhasama wa aina hiyo.
 
Tuwe makini ila tunahitaji uwekezaji.
Uwekezaji ufanyike ila sio ubinafsishaji wa bandari. Hichi kinachotetewa na walamba asali ni ubinafsishaji. Ni sawa na contract ya kuendeshewa nyumba yako ambapo mwekezaji ana uhuru wa kumgonga mkeo na mabinti zako wakati wowote atapoona inampendeza.
 
Uwekezaji ufanyike ila sio ubinafsishaji wa bandari. Hichi kinachotetewa na walamba asali ni ubinafsishaji. Ni sawa na contract ya kuendeshewa nyumba yako ambapo mwekezaji ana uhuru wa kumgonga mkeo na mabinti zako wakati wowote atapoona inampendeza.
Uwekezaji ndio Dili, uliowazi na ukomo ili baadae tukiona kuna Makampuni ya ndani yenye uwezo na yasiyo na historia ya upigaji kama TICTS yapewe.
 
SAMIA, MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA.

HEBU KUBALI TU KUWA ULIBUGI (iwe kwa kujua ama kutojua) MAMA UREKEBISHE KABLA MAMBO KUHARIBIKA KABISA.
 
Ninyi mnahonga na wale waandishi uchwala kupigia chapuo, Bunge nalo linaingia kwenye mtego wa kuwa wapiga debe.
 
Hata kama ya siku nyingi kwann nchi zinajitoa pia somalia 2018 alijtoa na kwann watu wanalalamikia Dp wanyonyaj
Usiwe mvivu wa kusoma Habari za Kimataifa, wakati mimi nilipokuwa nafuatilia mgogoro wa Doraleh Port huenda wewe ulikuwa bize na Simba na Yanga, au ulikuwa bize kuchangua nyuzi za kula tunda kimasihara.

Please hebu Google kwa bando lako.
 
Wewe jali ajira, kweni mikataba iliyopita wewe umeumbilia nini, si ni hao hao wa juu ndio wanapiga na kujilimbilizia mali.

Ripoti zote za ofisi ya CAG inaupigaji mbona hulalamiki

Katiba mbovu inayowapa CCM mamlaka ya kimungu mbona huibebei bango?
Piga kelele kuwa wewe ni mmoja wapo wa wapumbavu wa daraja ya juu kabisa gredi A
 
Piga kelele kuwa wewe ni mmoja wapo wa wapumbavu wa daraja ya juu kabisa gredi A
Hoja zimeshakupotea😆 sasa zimekuanza shutuma.

Hapo ndipo uchawi nao huanzia, umeshindwa hoja unaenda kuiloga ID😁
 
Hoja zimeshakupotea[emoji38] sasa zimekuanza shutuma.
Kwanza shukuru mungu leo unaongea na binadamu mwenye akili nyingi sana kuliko binadamu wa kawaida ....kwa hiyo leo tembea kifua mbale pia msimulie mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…