Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

Hakuna mzanaki mwenye lugha za mtaani namna hiyo, usituharibie sifa ya kabila letu mkuu. Chukua muda wako vizuri uijue asili yako.
99.999% ya tabia zangu nilizonazo ni za 'Kizanaki' tupu bila kusahau na za 'Kitutsi' lakini pia hapo hapo 'zimechanganyika' na za 'Kiyahudi' sana tu.
 
Umepatia kwelikweli. 'alitubariki' hakuna baraka na 'akili' kuduhu. Leo umeamkaje wewe mjivuni aso haya bingwa wa matukano?
Naona unaendeleza tu hapa 'Ujuha' wako ule ule. Na mpaka hivi sasa umekuja Kwangu Kiupole / Kinidhamu hivi bila shaka 'Dozi' yangu imekuingia.
 
Hahaha mabeberu wote wako hivyo, kwa hiyo unawabenda?!

Huyo anafahamika kwasababu ni mwanasiasa, wengi ni zaidi ya huyo role model wako.

Wapende wote usibague mabeberu.
Kwangu Mimi 'Premier' Benjamin Netanyahu 'alias' BIBI siyo 'Beberu' kama wale 'Wanaomtunza' Tundu Lissu Wenu bali ni 'Think Tank' nimpendae.
 
'Upumbavu' wako huu kuwa Tundu Lissu alipigwa Risasi na Vyombo vya Dola baki nao Wewe na 'Wapumbavu' Wenzio. Aliyemdhuru mpo nae huko.
 
The award has nothing to do with us as Tanzanians; that is his personal achievement to lure his masters which he needs to transform into practice at Ikungi and blind spectators.

Do you think so...?

If it had nothing to do with you, you couldn't have exposed your jealous into public just like that...

I assure you that, it has a lot to do with more than 10million voters including you who voted him in 28th October, 2020 presidential election...!!
 
Mbona una "panic" na typing error bro?. Una hoja gani wewe?.
Kwa tuliosoma na 'Kubobea' vyema katika 'Saikolojia' tena ile ya 'Kiutendaji' kabisa tuliyofunzwa na 'Myahudi' Kukosea hivi tu ni dalili ya Upumbavu.
 
Usiwalazimishe wananchi wapenda nchi yao wampende mvuruga nchi. Kama wewe unampenda huyo kibalaka wenu endelea kumpenda.

Usilazimishe watu kupenda upendacho au kuchikia uchukiacho wewe.

Nani kakutuma wewe kumsemea nani?

Njaa zenu za kutafutia teuzi kaeni nazo wenyewe.
 
Yaani wewe ukiipenda ccm na MUNGU anaipenda CCM, non-sense, who are you by the way?.
Mwenyezi Mungu ni CCM na CCM imeletwa duniani ( hasa hasa ) hapa nchini Tanzania na Mwenyezi Mungu. Ukiichukia una Matatizo ya 'Akili' sana.
 
Sio watu wengi wanakuogopa, Labda ccm wenzio wanakuogopa, hakuogopi mtu, GPA ya 1.5 utaisikia kwenye redio tu bro
Mkuu Wewe pamoja na hiyo GPA yako sijui ya 4.5 ila Mimi kwa hii hii GPA yangu ya 1.5 huna 'ubavu' wa 'Kushindana' nami kwa 'Hoja' tukuka hapa.
 
Ningekuwa siijui nadhani nisingeweza hata tu Kumtaja Jina lake na yawezekana nikawa najua 'Historia' yake mno tu kuliko 'Popoma' tukuka Wewe.
 
Hata mimi juzi nimempa mke wangu tuzo kwa kunijali na kunihudumia na kunivumilia kwa mapungufu yangu, pia kunizalia watoto wazuri wenye maadili.

Kwa hiyo pia hao kumpa huyo kibaraka wao tuzo sio mbaya,
Pia tanzania nao wamepata tuzo ya kuwa nchi yenye utawala bora na mengineyo,

Kwa hiyo hizo tuzo zake akatunzie huko kwa washirika wake.
 
Wazungu wanajua kucheza na akili za wajinga!

Yaani watu wawili ukichunguza vizuri wamekaa ndani ya chumba eti wanakabidhiana tuzo!

Haya maigizo baadaye yataisha na kurudi kwenye uhalisia!

Wahenga walisema, ''wajinga ndio waliwao''.
Nakubali kabisa kiongozi. Haiwezekani Tuzo eti watu wawili chumba kizima watatu naona ki kamera man.

Haya ni maigizo ya kitoto. Na tena naoma wazungu wajajuwa watanzania walio wengi hawajuwi haya mambo ya kimtandao hasa hasa wazee walio huko vijijini wanao ipigia kura ccm kila mwaka wa uchaguzi. Hongera Tundulisu kwa kuigiza kama mpigania haki na amani. We ndo stelingi wa kiafrica ulie na roho ya kibeberu.
 
Acha Kunipangia nini cha Kuandika / Kuchangia hapa JamiiForums kwani huninunulii 'Bando' langu sawa? Unanichukia 'nibloku' tu au hulijui na hili?
 
Mkuu Wewe pamoja na hiyo GPA yako sijui ya 4.5 ila Mimi kwa hii hii GPA yangu ya 1.5 huna 'ubavu' wa 'Kushindana' nami kwa 'Hoja' tukuka hapa.
Una hoja gani wewe "mipasho" tu huna kazi, umejikatia tamaa na maisha.
 
Kwa akiri kama za kwako bado kuna miaka 100 ili kizazi chako kikumbuke kuwa kinaweza kutengeneza hivyo ulivyovisema bila kutegemea hao wazungu,
Ulitakiwa wewe ufikilie kutengeneza hivyo vitu laki sio kukata tamaa kwamba hatuwezi daima.

Mawazo yenu mnategemea hao watu tu.

Kwenye chanjo ya corona wao ndo wana shida nayo , kwani sisi tumeiomba?

Saana saana watatulazimisha kuchomwa ili mtu akitaka kwenda kwao lazima awe na chanjo, lakini sisi hatuna muda nayo,
Mi
 
Una hoja gani ww "mipasho" tu huna kazi, umejikatia tamaa na maisha.
Sasa kama unajua nina Mipasho na nimeshajikatia Tamaa pia kwanini bado tu unaendelea Kusumbuka na Mimi? Nikikuita 'Mpumbavu' nitakukosea?
 
Mabeberu ndio tunatumia dawa zao, simu zao kuwasiliana, wewe huna akili hata ya kutengeneza kitanda unamwita foreigner BEBEBRU, utabakia kuwa mbuzi JIKE bro
 
Sasa kama unajua nina Mipasho na nimeshajikatia Tamaa pia kwanini bado tu unaendelea Kusumbuka na Mimi? Nikikuita 'Mpumbavu' nitakukosea?
Labda ww ndio unasumbuka na mimi, mi nsumbuke na wewe Cockroach?. Never man
 

Sasa, ndugu Nazgur hasahasa unataka tuelewe nini hapa wasomaji wako?

Kwamba mkeo ni kibaraka kwako au wewe ndiye kibaraka kwa mkeo?

Honestly, sijaelewa mantiki ya ulichikiandika...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…