GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
99.999% ya tabia zangu nilizonazo ni za 'Kizanaki' tupu bila kusahau na za 'Kitutsi' lakini pia hapo hapo 'zimechanganyika' na za 'Kiyahudi' sana tu.Hakuna mzanaki mwenye lugha za mtaani namna hiyo, usituharibie sifa ya kabila letu mkuu. Chukua muda wako vizuri uijue asili yako.