GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
" Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Kipimo cha ufala hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kidwanzi lakini hakuna mwenye mda nayo wapo busy na hoja tu acha ushamba
" Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.Huna unachokijua zaidi ya kuvuta Bangi kisha kujiona unajua kila kitu kumbe ni mbumbumbu wa kutupwa
Nashukuru kuwa umegundua kuwa nipo hapa kwa 'Kazi Maalum' tu ya 'Kuwakera' Wapinzani hasa hasa nyie wa CHADEMA na nitawakereni mno tu.Umeona kuwakera chadema haitoshi unamfuata na sir God daa aisee
TBC hawajatangaza hii habari, wala MAGAZETI yetu hayajaandika, sasa sijui sababu ni nini? AVideo hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu.
Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo hiyo.
Hongera sana Mh. Tundu A. Lissu. Binafsi nakutakia kila la kheri.
Ninachokipenda GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ninaamini na nina uhakika nacho kuwa hata Mwenyezi Mungu nae anakipenda kwani ananipenda.Kwa amntiki hii Mungu wako anafuata unachokipenda?
Jidume!Lione!
Aisee waliotoa hiyo tunzo wameshaleta madawa wameshaleta ela za corona wameshaleta ela za kusupport budget wameshaleta ruzuku za democracy wameshajega barabara kwa uchache 2 sahv wameamua wampe tunzo lissuOkey hiyo award itaisaidia vipi wananchi was kawaida katika uchumi wao kwa ujumla, ikiwemo madawa hospitalini na madawati shuleni...Kama tuzo hiyo haina connection na jamii humu umeileta ya Nini..maana hayo mambo ni yake binafsi..sisi watanzania Wala hatuna haja ya kusikiliza story zozote za kisanii sanii..aendelee kuishi na usanii wake kule na Amsterdam wake na wazungu wake waliompa uraia wa ukimbizi...
Mkuu wasamehe maana hawajui wawazalo wala watendalo.Ni kweli wanacheza na akili hata za kwako
Leo mnasubiria chanjo ya corona toka kwa mzungu
Mzungu anawatengenezea mpaka simu
Unatumia magari ya mzungu
Wewe unachojua maishani mwako ni kulala na kuamka basi
Mchana unapiga pambio za kusifu, Hufikirii uvumbuzi na ugunduzi
Ahaaa unawaza mabeberu wamsaidie dawa za presha Baba yako huko kijijini kwa kushusha bei ili NHIF waingize kwenye dawa za msingi.
Kuna muda mwanangu akichoka kuangalia katuni huwa nampa simu asome vichekesho vya kwako unavyoandika hapa JF.
Wanaogopa kubambikiwa kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumiTBC hawajatangaza hii habari, wala MAGAZETI yetu hayajaandika, sasa sijui sababu ni nini? A
Hongera, sana jitihada ziendelee. Mimi kama mzanzibari namkubali sana Tundu Lisu, hususan anapojadili visiwa vyetu anajipambanua sana na zile itikadi za ukoloni mweusi.Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu.
Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo hiyo.
Hongera sana Mh. Tundu A. Lissu. Binafsi nakutakia kila la kheri.
Hizo bei zitarejea kwenye uhalisia baada ya usafiri kutulia kufuatia matatizo ya Covid-19 kupunga.Kwa kweli.. Hapa tu sasa iko ‘in another level’. Leo cement ni bei gani?? Mafuta ya kupikia je?? Maisha hapo mtaani kwenu yakoje vile?? Si wazungu tu, hata sie anaong’ang’ana kutuongoza hatuwezi kumsahau maisha yetu yote.
Unadhani walihitajika wangapi ili wafe kwa kupakazana coronaNakubali kabisa kiongozi. Haiwezekani Tuzo eti watu wawili chumba kizima watatu naona ki kamera man.
Haya ni maigizo ya kitoto. Na tena naoma wazungu wajajuwa watanzania walio wengi hawajuwi haya mambo ya kimtandao hasa hasa wazee walio huko vijijini wanao ipigia kura ccm kila mwaka wa uchaguzi. Hongera Tundulisu kwa kuigiza kama mpigania haki na amani. We ndo stelingi wa kiafrica ulie na roho ya kibeberu.
Ki2 gani kikubwa cha kuleta mabadiliko duniani ambacho Mungu atabaikiwa kupitia wewe usiniambie umepata ela. Maan unamtaja sana Mungu ni bado unatukana watu unajisifu afu et Mungu au we ni muabudu jua mzee. Maan kwa maandiko yanasema Mungu hataki watu wanaoshiriki baraza la mizaha. Sas wew humu mpaka umri wako m2 anaeza kudoubt.Siisifii au Siipendi CCM ili 'niteuliwe' na bahati nzuri nimezaliwa katika Siasa na kupita katika Mikono ya Wakubwa wengi ( hasa aliyekutawala ) Tanzania kwa Awamu ya Kwanza na hata wa Awamu ya Tatu nae. Na si hapa tu pia nimeptia katika Mikono ya Watawala wa Uganda na Rwanda hivyo Siasa ipo damuni pamoja na Utawala lakini hata Siku moja sitaki kuwa Mwanasiasa kwani nimeyaona mengi na nayajua mengi pia.
Zawadi pekee niliyonayo ni kuwa 'good observer' na 'watchdog' wa mambo mbalimbali unayoyajua na usiyoyajua kisha Kazi yangu Kubwa tu na ambayo naipenda ni 'Kushauri' na nafurahi kuwa 99% ya ninayoyashauri 'Walengwa' huyafanyia Kazi na Taifa linasonga mbele. Nina 'Hisia' kali za Kugundua Jambo ambalo Wengine hamjaligundua na nikilisema linatokea vile vile.
Ndiyo maana 'namshukuru' mo Mwenyezi Mungu kwa 'Tunu / Shani' yake ya 'Kutukuka' Kwangu Mimi. Na nikutoe 'Hofu' Mimi wala sina Akili Kubwa bali nina 'Maarifa' mengi na niko ' very Versatile' pia. Unapoona 'Signature' yangu inasema "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" jua nimemaanisha na ninamaanisha kweli kwani huo ndiyo 'Uhalisia' wangu wa Kimaisha.
Tafadhali hakikisha unawafikishia 'comment' hii wale Waswahili ( Wapuuzi ) Wenzako wote hapa ( JF ) ambao 'mnakereka' na 'kuumia' nami zaidi.
Uiinga huuo unaongea sasa. Hivi ulicheki kampeni za Marekani wangapi walipakazana corona. Mbona mnataka kufanya kama watu ufikiri wao ni mdogo sana. Lisu aendele kutumika mpaka pale siku atakapo pata akili.Unadhani walihitajika wangapi ili wafe kwa kupakazana corona
Hahahah kwa hiyo kushirikiana washirikiane na serikali kupeana pesa na ruzuku kwa manufaa ya wananchi, lakini inapokuja suala la tuzo anapewa Lissu,, hivi wewe inaingia akilini wewe..Lissu alichofanya Ni Nini...kwanini hiyo misaada hawakumpa basi Lissu ili ailete yeye kwa wananchi...ulishawahi hata siku moja kumsikia lissu anajadiliana na mabeberu kwa issue zinazowafaidisha wananchi hata siku moja...Kama kuwaombea fedha hata za Corona..huoni ajabu..Lissu sanasana anataka mabeberu yawawekee vikwazo wananchi na nchi yote Ili wataabike..tena wakiwamo ndugu zake was damu nao waje wataabike..yeye na familia yake tu waishi Kama peponi..hii in maana hata wanachama wa chadema wataabike...hivi unamwona ana akili huyu jamaa...Aisee waliotoa hiyo tunzo wameshaleta madawa wameshaleta ela za corona wameshaleta ela za kusupport budget wameshaleta ruzuku za democracy wameshajega barabara kwa uchache 2 sahv wameamua wampe tunzo lissu
Hahahah kwa hiyo kushirikiana washirikiane na serikali kupeana pesa na ruzuku kwa manufaa ya wananchi, lakini inapokuja suala la tuzo anapewa Lissu,, hivi wewe inaingia akilini wewe..Lissu alichofanya Ni Nini...kwanini hiyo misaada hawakumpa basi Lissu ili ailete yeye kwa wananchi...ulishawahi hata siku moja kumsikia lissu anajadiliana na mabeberu kwa issue zinazowafaidisha wananchi hata siku moja...Kama kuwaombea fedha hata za Corona..huoni ajabu..Lissu sanasana anataka mabeberu yawawekee vikwazo wananchi na nchi yote Ili wataabike..tena wakiwamo ndugu zake was damu nao waje wataabike..yeye na familia yake tu waishi Kama peponi..hii in maana hata wanachama wa chadema wataabike...hivi unamwona ana akili huyu jamaa...Aisee waliotoa hiyo tunzo wameshaleta madawa wameshaleta ela za corona wameshaleta ela za kusupport budget wameshaleta ruzuku za democracy wameshajega barabara kwa uchache 2 sahv wameamua wampe tunzo lissu
Sas kumpa mtu tunzo kuna athiri nini shughuli za maendeleo watu wanaofany hvo vitu washatimiza unayozungumza wewe kwa hiyo hata wakimpa tunzo hakuna shida plus wale ni taifa jingine so huwezi wapangia matumizi ya rasilimali na muda afu tunzo hajaanza kupewa lissu tu na bado jmaa wamepiga hatua plus sio baba zetu tugawane sawa kila kitu chaoHahahah kwa hiyo kushirikiana washirikiane na serikali kupeana pesa na ruzuku kwa manufaa ya wananchi, lakini inapokuja suala la tuzo anapewa Lissu,, hivi wewe inaingia akilini wewe..Lissu alichofanya Ni Nini...kwanini hiyo misaada hawakumpa basi Lissu ili ailete yeye kwa wananchi...ulishawahi hata siku moja kumsikia lissu anajadiliana na mabeberu kwa issue zinazowafaidisha wananchi hata siku moja...Kama kuwaombea fedha hata za Corona..huoni ajabu..Lissu sanasana anataka mabeberu yawawekee vikwazo wananchi na nchi yote Ili wataabike..tena wakiwamo ndugu zake was damu nao waje wataabike..yeye na familia yake tu waishi Kama peponi..hii in maana hata wanachama wa chadema wataabike...hivi unamwona ana akili huyu jamaa...
Kwa hiyo sheria za marekani na ulaya ni sawa mbona ulaya mataifa baadhi yako lockdown sahivi usikariri mzee plus sio grammy zile kwamba lazima mashabiki wawepoUiinga huuo unaongea sasa. Hivi ulicheki kampeni za Marekani wangapi walipakazana corona. Mbona mnataka kufanya kama watu ufikiri wao ni mdogo sana. Lisu aendele kutumika mpaka pale siku atakapo pata akili.
Umejuaje upande wangu wakati mi nimezungumza kwa habari ya Mungu 2. Lakin kwa jibu hili unaonesha Mungu kwako ni kama kiunganishi na,kwa coz huna hofu nae. For that case unamaanisha other gods and not the almighty one. Nimekuelewa na asante.Nashukuru kuwa umegundua kuwa nipo hapa kwa 'Kazi Maalum' tu ya 'Kuwakera' Wapinzani hasa hasa nyie wa CHADEMA na nitawakereni mno tu.