Kwann umeamua kuendelea kuwa chini ya utawala wa shetani tangu siku ya kwanza yako kuzaliwa? amua sasa kuondoka na kwenda kwenye nchi ambayo inaongozwa na chama cha mpango wa Mungu.Lissu(CHADEMA) ni mpango wa Mungu, Sisiem ni mpango wa shetani
Sijakuelewa WallahHii Kesi ikienda mbele mtashangaa yakitakiwa matokeo ya uchaguzi 2020 kuanzia udiwani mpaka huko juu
Kageuzwa Kama Bibi Titi,wakati wa Mwalimu Nyerere.Samia is turning Lissu into a Nelson Mandela.
Chadema bhana πHii Kesi ikienda mbele mtashangaa yakitakiwa matokeo ya uchaguzi 2020 kuanzia udiwani mpaka huko juu
Atatia akiliLissu aliongea kauli hatari sana kwa usalama wa nchi. Kuzuia uchaguzi na kukinukisha ni kauli za hovyo. Cha muhimu hapo serikali iandae mashahidi 60 ambao kwa mwaka watasikilizwa watatu tu... akifikiwa shahidi wa 25, DPP aseme hana nia ya kuendelea na kesi.. atakuwa kashajifunza.
"Hakuna dola ambayo ilipambana na raia wake dola hiyo ikashinda" Mh. Christopher Kasanga Tumbo: (RIP)Hapo Kenya,wandamaji walipigwa risasi,maandamano na vurugu mara tatu,na wengine kuwekwa ndani.Ruto bado yuko madarakani.Huko Uganda,Besigie anakula mkong'oto na bado Museveni yuko madarakani.
Wait and sewNdoto ya jua kali.Kama alivyoota Kambona,atakuwa rais,enzi za mwalimu Nyerere.
Miujiza hii..... Saa kumi mtu anafikisha mahakamaniπ πEU UK USA nk wameshatuwa......
Hii njia ya kupata haki katika chaguzi zetu, ni lazima haya yatokee.Kwa kesi ya uhaini aliyofunguliwa haina dhamana japokua atashinda kesi ila atakua amekaa mahabusu kwa miezi 16
Mm sijaona picha zao, em naomba na Mm nizioneEU UK USA nk wameshatuwa......
Haki huwezi kupewa mkononi.....you must pay the priceHii njia ya kupata haki katika chauzi zetu, ni lazima haya yatokee.
Usisahau John Mallya ni mmoja wa G55The Chairman is alive and smiled all the way up to court room. π
Imekwisha sasa, ni kazi sasa ya Mwendesha Mashtaka kuthibitisha Mashtaka. π
Nilimis sana zile "Cross examinations" za akina Kibatala na Mashahidi upande Mashtaka. π
Uanzishwe uzi maalum wa kesi hii Mpaka mwisho. Mimi ndo napenda sana namna hii. π
Mi nilikuwa najuaga wakina Massawe ni wajanja wajanja kumbe na wajinga wapo bana.Alimshindwa wap si alikimbia!??
M Waambieni hiyo kitambi kama mimba ya nguruwe itachanika
Mkuu tafuta dodoki kwa maneno tu hasafishikiJPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Ndio hao G55, njaa tupuMi nilikuwa najuaga wakina Massawe ni wajanja wajanja kumbe ni wajinga wapo bana.
π π π πHii Kesi ikienda mbele mtashangaa yakitakiwa matokeo ya uchaguzi 2020 kuanzia udiwani mpaka huko juu
Kwani dada wewe ukitaka kuongezewa hela na wahuni huwa unanyoosha vidole vingapi?Basi anaona siiiiifa kunyoova midole yake miwili kwenye camera ili mabwana zake wanaomtuma wamwongeze hela.