Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

  1. Mbona huyo kijana anaona aibu wakati wa kuingiwa?
  2. Nilidhani mfalme anakuwa mwanamme, huyu ni mfalme gani wa kike
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ This evil generation seek for signs ........boss hapo ndo wengi wanaokotwa hujajiuliza kwanini wengi wanaongozana kwa kina mwamposa na so on wanafata miujuza tu ukiweza kudanganya at miujuza miwili tu sadaka unazo 😁😁😁
 
Hahaha, Mkuu unamuona Michael Jackson wa mchongo? Ningekua kanisani ningeondoka mda huo huo.
Na kwanini uingie sehemu ya kijinga kama hiyo?

Mwanamke anapanda mimbari kwa kivuli cha kuongoza ibada hii imetoka wapi,obviously wanaoingia humo ni wapumbavu wasiojua wanachoamini.
 

Tofautisha dini na imani, dini ni chombo Cha ushirika na jinsi ya kutekeleza ibada kwa Mungu, lakini Imani Ni mahusiano ya mtu binafsi na Mungu, ndio maana kila dini inakataza maovu na kuzishika amri kumi za Mungu Kama kutoiba Wala kuzini na kusema uongo nk. Ukiingia kwenye dini deal na imani sio mapokeo ya dini.

Nakumbuka kipindi Cha Jim Jones mwaka 1975 kauli Kama hizi za kwako zilikuwepo kumtetea Jim jones, lakini alivyokuja kuleta maafa mwaka 1978 kwa kuwaua wafuasi wake wote wapatao 900 huko Johnstown, dunia yote ilibaki inashangaa. Hivyo hivyo ni kama leo, tutamtetea Sana Zumaridi ila mwishoni likitokea baya tutakuja kuilaumu serikali. Serikali iendelee kushughulika na huyu Zumaridi mpaka mwisho yasije yakatokea ya kibwetele.
 
Kumbuka dini haikupeleki kwa Mungu Bali matendo mema na utakatifu. Kuendelea kutenda dhambi kisa Zumaridi haotakusiadia. Dunia ya Sasa ni kujisimamia wewe binafsi, maana siku ya kufa utazikwa pekee yako Zumaridi hatakuwepo.
 
Hivi kwanini ukirsto ndio unachezewa sana?

Yesu Kristo alitamka maneno ya kwamba, Wewe ndiwe Petro na katika mwamba huu nitalijenga kanisa langu na milango ya kuzimu haitalishinda.

Hii inamaanisha milango ya kuzimu itajitahidi kupambana na kanisa kupitia njia nyingi Kama manabii wa uongo ili kulichafua na kujishusha hadhi lakini mwisho wa siku litabaki imara. Akina Zumaridi watapita Kama akina kibwetere, Jim Jones na David koreishi au Applewhite walivyopita.
 

Inawezekana wakawa wapo kimaslahi. Lakini kuhubiri mafanikio pia ni sehemu ya wokovu kwani unakuwa umewaokoa na umaskini. Mtu mwenye kiu ya mwili wokovu wake ni maji. Pia mwenye njaa wokovu wake ni chakula. Mwenye dhambi wokovu wake ni toba.

Haiwezekani kuitekeleza dini ya kweli kuwasaidia maskini, wajane na yatima ikiwa huna mafanikio. Maskini hamsaidiu maskini. Lazima tufanikiwe na mafanikio kiuchumi ni baraka.
 
Nabii Shila ana muujiza wake mmoja huo wa maombezi mkiwa wawili ofisini kwake ambao inabidi amuue kuku kimya-kimya katikati ya sala kabla muumini hajafungua macho.
Yani muumini kabla hajafunga macho akiwa anaombewa anaonyeshwa kuku mzima anadanganywa kuwa anatolewa mapepo ya hatari sana na yanahamishiwa kwa kuku.
Akimaliza kuombewa akifungua macho anakuta kuku amekufa anadanganywa mapepo yaliyohamishiwa kwa kuku kutoka kwake na yalikusudia kumuua lakini nabii ameyawahi yameishia kumuua kuku kumbe nyuma ya pazia Nabii Shila anamdunga kuku sindano yenye sumu kali saana bila muumini kumuona na inabidi sala iwe ndefu kweri-kweri.
 
Tapeli yoyote lazima awe punguwani kidogo kichwani ili aweze kudanganya watu kwa kujiamini...

Ukijifanya una akili sana huwezi kupiga mishe za kutapeli
 
wapumbav hawawez kuisha dunian so zumarid kaksannya wapumbav wenzie acha awpge ela wajinga flan ivi ww na akil zako unaweza kwenda kushlik ujnga km huo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…