Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

Watu wakisha kuwa na matatizo , wanakuwa wepesi kuamini chochote.
 
Kwani waganga wa kienyeji wanavyochezea akili za watu wasomi wazima kufanywa mandondocha uoni kama ni tatizo.
 
Huyu mtu sidhani Kama Kuna sehemu kasema yeye Ni Mkristu, matendo yake yote na ibada zake hazina hata chembe ya ukristu..inakuwaje watu wanamwita mkistu, pia wengi hapa wanasema anadanganya watu Mara ooh wako brain washed mnajuaje washirika

Yani waumini wake na yeye SI wa design moja wanaabudu wanachojua wao, Hapo hakuna mtu anayesali Hapo bahati mbaya au kwamba kawaroga wote hao Ni kundi moja wanajua mungu wao wanayemwabudu. Nyie mnajitesa tuπŸ˜‚πŸ€£
 
Kwani waganga wa kienyeji wanavyochezea akili za watu wasomi wazima kufanywa mandondocha uoni kama ni tatizo.
Sasa wapi nimesema sio tatizo? hapa tunaongelea huyu mdada sasa wewe unaleta hoja ya kijumla.

Unaona sawa Michael Jackson mizimu yake kuja Tanzania halafu yanasikia kiswahili πŸ˜›
 
Zamani nilikuwa najua Mfalme ni WA Kiume na Wakike ni Malkia ila Sasa sijui Mambo ndo kugeuka kwenye we au ndo tumepitwa na wakati......!
Embu shangaa na ww kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
 
Wajinga ndio wali wao au sio?
 
Wewe unacheza na mambo ya imani,Imani ni kama ukichaa fulani kwa yule asiye wa imani hiyo.

Umewahi kuwaza mtu anajilipua na wanadamu wenzake wanaangamia eti akifanya hivyo anaenda peponi moja kwa moja usicheze na Imani
 
Daah, mbona naona aibu mimi? , hivi kwanini tusirudishwe utumwani tu hadi akili itukae sawa? Nyie mnaonaje eti?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja ninyamaze nisije kuonekana nakashifu imani za watu
 
Daah, mbona naona aibu mimi? , hivi kwanini tusirudishwe utumwani tu hadi akili itukae sawa? Nyie mnaonaje eti?
Kwa hao Russia na Ukraini?? naon wenyew hawajisomi, mara wanatetea ushoga,mara nn. Now wanauana huko.

By the way, Utumwa mbona bado upo, kama muda huu upo kichwani, as wengi tunaona wazi kuwa wao wanaweza kutuamulia kuliko sisi kujiamulia mwenyewe!
 
nahis kesi ikiendelea tutajua mkuu. ila kuna file lake la mtu aliyepiga naye harakat za maisha,alinipa hata sijashtuka
Alikuambiaje huwa anafanya biashara gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…