VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

Hawa ndo form six leavers ndo wamemaliza mafunzo yao ya miezi mitatu,November wanaenda chuo,bado ni watoto wadogo so wako kwenye mizaa ya kitoto,
Ni ajabu sana kutishwa na kauli za watoto wadogo kama hizi
Hakuna aliyetishika ila watu wana ghadhabika kwa sababu ya ujinga na upumbavu wanaolishwa kwenye mafunzo huko kambini
 
Cha ajabu wanaopiga makelele mitandaoni kutaka kuandamana ni wala chips yai, vitambi wote lonyolonyo halafu ndio wanajifanya eti watakinukisha,
 
Itoshe kusema Gen Z ni takataka! Ujinga huu ndiyo maana mavijana yangu yaligoma kwenda JKT. Hii nayo ni JKT hii? Miezi mitatu mnatuambia nini? Ukikuta raia wamegoma utawafanya nini na mbinu za kijeshi huna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…