Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Kwanini mkuu?Hakuna uchawi, huu ni umasikini na ujinga tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu?Hakuna uchawi, huu ni umasikini na ujinga tu.
Kwa sababu hakuna uchawi, kinachoitwa uchawi ni umasikini, ujinga, hadaa na vitu kama hivyo.Kwanini mkuu?
Uchawi upo mkuu, labda kama tunatofautiana kwenye kutafsiri maana yake, wewe unatafsiri kama ujinga umasikini pengine ni kutokana na mazingira uliyoishi, ila kwa mimi niliyezaliwa kijijini kalema, kwetu tunauona uchawi kama nguvu hasi isiyoonekanaKwa sababu hakuna uchawi, kinachoitwa uchawi ni umasikini, ujinga, hadaa na vitu kama hivyo.
Labda na mimi nijifunze kwako.uchawi upo mkuu, labda kama tunatofautiana kwenye kutafsiri maana yake, wewe unatafsiri kama ujinga umasikini pengine ni kutokana na mazingira uliyoishi, ila kwa mimi niliyezaliwa kijijini kalema, kwetu tunauona uchawi kama nguvu hasi isiyoonekana
🔹Polisi huwa wanaongizwa Sana mkenge na hao matapeli ambao unakuta wamekwisha kula Dili na waganga tapeli wanajifanya ni wachawi wamenasa halafu anajitokeza tapeli huyo kujifanya yeye ndio kawatega na dawa zake na kuwanasua ili baadaye apate wateja wajinga waliokuwa obsessed na Imani za kishirikina.
🔹 Mkoa wa pwani Kuna kuliko mmoja alikula Dili na mganga feki akazuga akiba mzigo imegoma kushushwa akapelekwa mpaka polisi lakini baadaye ilikuja kugundulika ni magumashi
View: https://youtu.be/mjWCCRqXsis?si=EyH_Ieoycs0bYRS_
🔹 Kule Mwanza wakati zumaridi anaanza mazingaumbwe aliwahi kuwsleta vijana kutoka Kigoma na kuwaweka juu ya paa la kanisa lake na ukijifanya wamedondoka hapo na ungo kutokana na maombi.
View: https://youtu.be/GmpTjDxEF48?si=dftKscnPsT0KHKbi
🔹Iringa ,mbeya na Dar vituko kama hivyo ni vingi. Vyote vipo staged na Kuna mtu yupo nyuma yake ili kutangaza biashara ya kitapeli. Hapo wanakuwa wameshalipana, wsnaespakaa madizi au chokaa , kuvaa kaniki na kubeba ungo ,pembe na vibuyu ila ukimwbia aruke anazuga nguvu zimeisha. Umagumashi mtupu
Ndio maana nimesema uchawi ni nguvu hasi isiyoonekana kwa macho; kinachoonekana ni matokeo yake,Labda na mimi nijifunze kwako.
Unajuaje huu ni uchawi, na huu si uchawi, labda ni kitu nisichokijua tu?
Kwa mfano.
Nyumbani kwenu kijijini mmegombana na jirani wa karibu yenu, shamba la pili, liko mbali kidogo.
Akasema nitawaua wote nyie.
Wiki moja baadaye ukakuta watu wamekufa ndani ya nyumba.
Hakuna mlango uliovunjwa.
Utajuaje huo ni uchawi au si uchawi?
Kwahiyo na wewe unaamini polisiPolice wafanye igizo ili iweje sasa
Police wafanye igizo ili iweje sasa
Kwa hiyo definition yako ya uchawi nuclear fusion nayo ni uchawi?Ndio maana nimesema uchawi ni nguvu hasi isiyoonekana kwa macho; kinachoonekana ni matokeo yake,
Kwa mfano mimi nimeshashuhudia kaburi la mtu aliyekufa miaka 7 likifukuliwa na marehemu kumwagiwa madawa akaamka,
Na kuongea kwa zaidi ya masaa ma 4, ktk kikao cha familia,
Case mbili hazifananiKwahiyo na wewe unaamini polisiView attachment 2887480 hawawezi kufanya igizo?
View attachment 2887479
Hili igizo la Mo umelisahau?
Pole sana..Case mbili hazifanani
Imani upimwa kwa matokeo ya mwili Sasa utaamini vipi we ni bilionea Hali choka mbayaKwa hiyo nikiwachezea mchezo wa karata tatu nikawaambia huu ni muujiza wangu Mungu muumba vyote, wakaniamini, hapo nitakuwa kweli Mungu muumba vyote?
Unaelewa kuwa kukiamini kitu kuwa ni kweli hakukifanyi kuwa kweli?
Vinginevyo wote tungejiaminisha sisi ni mabilionea wa US dollars, na kujiaminisha hivyo kungetufanya kweli tuwe mabilionea, unaelewa hilo?
Uliza saikolojia Yako ikutoe gizaniMkuu una uhakika humo kichwani zimo kweli?
Vitu vipo wazi weka ukweliKwel mmedanganywa sana , sioni nikitoboa kukuelimisha.
Unajua asili ya Halloween ilivyoanza.Mkuu,
Tuanze na Halloween.
Nikitunga sikukuu ikakubalika na wengi kama sikukuu, hata watu wanaotaka kusheherekea chochote tu kujiondolea uchovu wa kazi za kila siku, basi hilo linamaanisha sikukuu hiyo inawakilisha jambo la kweli?
Huoni kuwa hapo umefanya logical fallacy ya appeal from popularity ukaiunganisha na logical fallacy ya non sequitur?
Yani umeunganisha logical fallacy angalau mbili kwa pamoja ukapata double decker fallacious argument.
Unaelewa hilo?
Umenikimbusha Mombasa Kenya walitokea watu wanacheza ngoma nje, pembeni ya gari, wakiwa uchi.
Madai yao wameiba gari, halafu ile gari ina ulinzi wa uchawi.
Kumbe ilikuwa deal tu la ku boost biashara ya mganga fulani wa kienyeji.
Polisi kija kuchunguza kidogo tu, wakagundua kuwa ile habari yote ilikuwa ni mchezo umepangwa na wale watu walikuwa wamelipwa. Yani watu wameona mambo yalivyopangwa kwenye CCTV footage.
Sasa hapo kwa watu wenye akili za kuamini uchawi wanachotwa kirahisi sana.
Michezo kama hii wajinga wajinga wengi tulio nao hapa unawashikia akili vizuri tu.
View: https://youtu.be/m11yTkKPndk?si=bH8JvGpRRh3aWZZy
![]()
CCTV cameras reveal how Mombasa witchcraft stunt was staged – VIDEO
A CCTV footage has emerged showing how the witchcraft drama was stage managed in Bamburi, Mombasa. The video clip, obtained by the Nation, shows one of the two alleged witch doctors arriving atnairobinews.nation.africa
Nakwambia hivi, uchawi ulikuwa ni imani inayokubalika dunia nzima. Hususan kwa sababu ya dini.Unajua asili ya Halloween ilivyoanza.
Mbona ulaya waliuwa wachawi kupitia operation tokomeza uchawi wengi waliuliwa
Kwani Whitecraft ni nini kama sio uchawi.
Sikuku za Halloween ni nini,wakutishe na kitu kisichokuwepo kwenye society iweje sasa,hayo makanisa ya wachawi yakiwemo freemasoni,hivyo vyuo na vitabu vya uchawi ulaya vina maana Gani.
kama Fbi,CIA,KGB nk kwenye operation zao ngumu wanatumia uchawi mfano kuingia sehemu na kupotea,nk.
Sema ulaya zaidi ni white magic,na Africa zaidi ni black magic uchawi WA level ya chini.
Mkuu una uhakika humo kichwani zimo kweli?
Kwel mmedanganywa sana , sioni nikitoboa kukuelimisha.