Naungana na wewe katika hiliNahisi ni sawa na mkulima wa mpunga mbarali akafanya biashara ya mama ntilie mwenge.
Huwezi kucompete naye, hata akiuza sahani ya ubwabwa 1000 bado atapata faida kidogo tena atakuwa anauza nyingi kwa muda mfupi.
kwahiyo unalalamika wanauza bei ndogo?unataka waongeze bei au?🤔sijaelewa😇😇.Nani kakwambia wanauza vibanio vya nywele tu humo ndani. Wanauza vitu vingi sana humo ambavyo value yake sio 3000
But still, haimake sense kuanzisha hiyo store Mikocheni.
Wakuu,
Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.
Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.
Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo
Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine
Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?
Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?
Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?
Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?
Ukienda China hizo glass hazizidi shs. 300/=Wakuu,

Brazil kwenyewe wamejaa topNadhani pengine hata hujatoka nje ya Tanzania na mbaya zaidi hujui tunachozungumzia. Nani kasema wachina wako China tu? Niliwa Europe, nimekula sana kwenye migahawa ya kichina na katu sitasema wachina wafukuzwe au wasiruhusiwe kuja Bongo. ''Wanakuja kufanya nini'' na hawa watawala walioshindwa kila kitu wamejiandaa vipi kwa ukio wao, hilo ndilo jambo muhimu
Lkn bado sio kwa hiyo bei , mtu wa kariakoo atauza kwel ? Kesho wakabaji wataongezeka , tuwe na mitizamo ya mbaliVitu vyenyewe umeviona ?
Au umeenda ukakuta bidhaa zinazouzwa
Vibanio vya nywele, glass na chupa za maji ni kitu Cha kulalamika.
Wanaolalamika humu ni mawingaHizo kelele za wauzaji walizoea kutufanya ng'ombe
Vitu vyenyewe umeviona ?
Au umeenda ukakuta bidhaa zinazouzwa
Vibanio vya nywele, glass na chupa za maji ni kitu Cha kulalamika.
Mbona hakuna bidhaa ya maana Bali yamejaa makorokocho ambayo ukiyanunua baada ya siku mbili yanageuka uchafu nyumbani?Wakuu,
Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore.
Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000.
Yaani chochote, kuanzia accesories za wanawake, make ups na masuala ya urembo, stationeries na kila kitu humo ni 3000 tu. Ukipita hapo muda wote wanawake wanapanga foleni kwenda kununua bidhaa humo
Nimejiuliza sana. Wote tunajua kupata frame au eneo la biashara Mikocheni ni expensive sana. Wafanyabiashara wetu wengi wa kibongo wanapaepuka Mikocheni kwa sababu ni ghali sana kupata frame huko. Frame zetu nyingi Bongo ziko Mwenge na maeneo wanaoishi watu yaani residential areas kama huko Sinza, Ubungo na maeneo mengine
Inawezekanaje hawa Wachina, wachukue sio frame tu bali ni upande mmoja floor nzima in the heart of Mikocheni alafu wauze kila kitu 3,000. Wanapataje faida?
Hapo nimeongelea gharama za kodi ya eneo la biashara , sijazungumzia kulipa watu mishahara, kodi ya serikali, umeme na maintenance ya biashara. Wachina wanawezaje?
Wanapewa misaada ya kodi ya bandarini? Wanachukua vitu bure huko viwandani au ni mbinu gani inatumika mpaka wanaaanzisha store kubwa kama hii alafu wanauza chochote 3,000?
Mna uhakika hawa hawana plan ya ku-take over supply chain yetu yote? Huu sio mpango mkakati wa serikali ya China?
Mtoa mada wewe ni mjinga.
Ungekuwa na akili ungefanya research kwanza. Hivyo vitu wanavyoviuza 3000 wanavitoa wapi ?
Halafu ungepeleleza gharama zake za uzalishaji ni shilingi ngapi.
Hapo ndipo ungejua kama hao wachina wanapata hasara kupanga huko mikocheni na kuuza 3000 ama wanapata faida.
Tambua Kama hivyo vitu wanavyouza ni made in china. Ujue wanapata faida kubwa sana. Wanavuna pesa zetu
Kwa elezea makosa (kama ni uhamiaji au kutokulipa kodi) na sio kutoa huduma kwa wananchi ambao serikali na taasisi zao zimeshindwa hivyo angalau kuweza kupata huduma na kubakia na chenji...
Hivi unajua kuna maduka hata huko nje yanatiwa Poundland ? Yaani kila kitu pound moja moja..., au kuna all you can eat buffet ya pound tano au less...; Ukitaka kujua business models zao wanapataje faida takwambia...,; Au unaonaje tungewashukia na WhatsApp kutoka huduma ya calls na mengineyo bure hivyo kuwanyima faranga kina TTCL...
Lack of exposure. Maduka hayo yapo kila mahali; na bidhaa zinazowekwa humo zinaendana na bei husika. Unaweza kuta pia bidhaa ghali kidogo lakini zitakuwa zimekaribia kumaliza muda wake na au zipo kwenye promosheni maalum. Usishangae pia kukuta bidhaa chache sana zinauzwa bei ghali kidogo na iliyopangwa. Ni jambo la kawaida sana!
View attachment 3304037
View attachment 3304038
We shida yako nini, watu wanataka unafuu wa maisha we unashangaa? Hao ni wakombozi wa watanzania
Msiwanyanyase wawekezajiWakuu,