Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Aliwaga damu za Watanzania wengi na yeye Mungu akamtandika pigo moja tu la Corona mpaka leo kawaacha wakiwa mkiomboleza na kujifariji kila leo
Ni ujinga kusema alimwaga damu za watu kwa Sababu hata enzi za kikwete kuna damu za watu zilimwagika kwahiyo hakuna jipya Katika utawala wa Magufuli.
 
I was not JPM follower, lakini sasa hivi kama nchi inajiendea tu kama meli isiyo na nahodha. Yaani it seems she has no idea of what is going on...kila kitu anawaambia kaliangalieni😄 Na hakuna kitu inaangaliwa ni business as usual plus upigaji mwingi. JPM alijua details zote. Aliyumba pale ambapo ukimkosoa anaweza kuzaa na wewe na jinsi alivyomlinda mhalifu DAB.
 
#HABARI Watu watatu Wilayani Kilwa Mkoani Lindi, wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma ya makosa ya kukutwa na meno ya Tembo 90 yanayokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni Moja.

Watuhumiwa hao ambao ni Said Selemani, Bakari Saidi Na Selemani Hassani wote ni wakazi wa Kijiji cha Nanjilinji wilayani kilwa ambapo inaelezwa kuwa walikamatwa Machi 30.2023 katika eneo la Nakiu wilayani humo wakiwa na shehena ya meno ya Tembo 90

Watuhumiwa hao wanashtakiwa kwa makosa ya kukutwa na meno ya Tembo pamoja na tuhuma ya kujihusisha katika uuzaji wa nyara hizo za serikali kinyume na sheria ya wanyamapori Nambari 5 ya mwaka 2009
#EastAfricaTV
 

Wananchi wasiojua kuchambua mambo lazima wampende magufuli na yeye ndio alikuwa ame invest kwenye ujinga na umaskini wao …..na kutumia hulka yetu watanzania ya kupenda kuona watu wanashughulikiwa hasa MATAJIRI , WASOMI na WENYE MADARAKA ….
Sikatai ukweli kuwa ufisadi umekuwa mkubwa ….ninakataa tu hali ya wafuasi wa magufuli kutaka kujenga propaganda kuwa alikuwa MALAIKA ..na MSAFI …ukweli ni kuwa utawala wa Magufuli ufisadi ulikuwa mkubwa tu na zaidi ukiwahusisha watu wake wa karibu …

TUACHENI siasa za kuwatumia maskini na watu wasio na taarifa .
 

Wa kimara waliambiwa hawakumpigia kura wavunjiwe …alipofika mwanza akasema hata waliovamia uwanja wa ndege …waaachwe ni wapiga kura wake …..ina maana alikuwa na kura bora kuliko nyingine …..
 
Unatumia kigezo kipi mkuu kupata jibu hili?
 
Mbona analia pekee yake wenzake wanamshangaa tu.

Umeona kwenye video kuna mtu ndio producers wa movie ukisikia kwa makini ndio anawaambia hao wengine …lieni ….pigeni mayowe….hizi propaganda hazitasaidia ….kwa mwananchi wa Mtwara , Lindi aliyedhulumiwa korosho yake ..
Mwananchi wa TABORA, MOROGORO,RUKWA , KATAVI ….waliodhulumiwa TUMBAKU yao …
Wananchi wa Manyara ……waliodhulumiwa MBAAZI yao …
Mwananchi wa SONGEA na kwingine ambao mahindi yao yalidhulumiwa ……
Wananchi wa Mara ambao waliendelea kusulubiwa ….wananchi wa KILIMANJARO ,Manyara TANGA na Arusha ambao walibaguliwa kwa kuitwa watu wa “Kaskazini’
Sasa kama kweli wanajua kutengeneza video za kutaka kumuumiza samia basi waende MTWARA wakatengeneze senema kama hiyo …hata kama watatoa pesa tuone kama watarudi salama
 
Haya ni matusi.
 
CCM ni chama katili sana, wamemuua Magufuli ili uozo uendelee kama ilivyo hivi sasa.
 
Hii nchi si ya Magufuli nyie mapoyoyo. Kuna baba wa Taifa aliongoza miaka 23 sembuse huyo marehemu wenu aliyeongoza miaka 5. Ndio aliwafundisha kuvamia maeneo ya watu? Nyie ni washamba km yule marehemu wenu. Ondokeni kwenye maeneo ya watu.
JPM kaongiza TZ Kwa misma 20 siyo 5 Kenge wewe.

Mawazo yako ni ya watoto waliozaliwa mwaka 2015
 
Ni dhahiri hapa, unalazimisha. Hakuna mwananchi anayetaka kumuumiza mtu yeyoye yule....labda hawa magaidi wa mtandaoni.
 
Kuna vijimaneneo (script) vilivyopitwa na Wakati.

Ila, kuna wale wanaofanya kurudiarudia hayo maneno kwa makusudi ili waende kuyalisha madubwasha(hapa Bots) vya akili bandia ili kuendeleza kampeni zao hasi dhidi ya Hayati Rais sasa na mbeleni. Hamtafanikiwa. Mtashindwa tu.

Ni hivi....Udhalimu wa Mabeberu na Vibaraka wake wote unajulikana na unaonekana tena na zaidi ya pale Hayati alipokuwa anatuonyesha yanapotokea. Uhakika sasa hakuna aliye 'masikini' wa fikra. Ninajionea mwenyewe na ni uhakika vilevile Wananchi wanajionea wenyewe....

Ni washauri nyie mliokuwa na visasi binafsi.....tafuteni mbinu zingine za kupunguza hasira zenu.....Wacheni Ugaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…