Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Hapa mi naona we ndo hauna akili zaidi.......tena hauhusiki kabisa na akili, unayestahili kushitakiwa ukitaja hiko kitu kwani hakikuhusu.
 
Kuna wajinga wameandika kitabu, kabla hakijaanza kutumika, majibu yao wameyapata!

Sijui itabidi wakawatulize kwanza kuwaambia Hayati hakufaa? Sielewi Mimi!
Wale ni wajingawa, wanaolipwa na nape !!


Wanalazimika kufanya Ivo Ili matumbk yatune.

Jambo wanalosahau ni kwamba, Siku zaja ambazo watalia na kusaga meno.
 
Hao wana shida gani?
Kuonesha watu wakilia na kulamika bila kutueleza hoja yao nini siyo sawa.
Yawezekana wana sababu ya msingi au ujinga wao tu.
Mambo ya kulamika kwa mamlaka za utawala yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo.
Ni lazima kujua kilio chao kimesababishwa na nini, mamlaka husika zirekebishe
 
Licha ya hivyo! Kwa nini iwalazimu kumtaja asiyekuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…