Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

Umeandika vitu vingi lakini sijaelewa unataka kusema nini
 
Mafisadi wanadai mama anaponya nchi wamemuandikia na kitabu
 
Mnaoandika vitabu, haya mliyafikilia pia?

Au pesa za mafisadi zimewafunga macho msione?

Sasa ni miaka miwili kaburini! Mtawaambia nini wananchi kama hawa wakaelewa ngonjera zenu?
Wananchi wapumbavu tuwaambie nini sisi? Kama wanaweza kuililia mifupa iliyoko shimoni Chato, unaanzaje kuwasaidia? Ni kupoteza muda. Hatu entertain stupidness
 
Ata ukienda Kwa wakulima wa kolosho nao watalilia kama awa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…