mkuu, uwe na utu basi angalau hata kidogo tu, shida yako ni Magufuli inafahamika, hao raia nao unachuki nao za nini sasa, hivi unadhani wewe ndo mwenye akili peke yako kuliko makutano wote hao? Sitaki kusema vibaya juu yako, lakini mkuu, nakuhakikishia kwamba; iwapo wewe tu ambaye unaona wananchi wote hao hawana Akili, ufahamu kabisa wewe una ila kichwaniWananchi wapumbavu tuwaambie nini sisi? Kama wanaweza kuililia mifupa iliyoko shimoni Chato, unaanzaje kuwasaidia? Ni kupoteza muda. Hatu entertain stupidness
Waambie waongeze sauti hatujaskia Bado kilio Chao huku kwetu 😁😁😁😁
Hao ndio mtawafuata kuwaomba kura mzee! Maneno haya hamtaweza kuyasema mbele yao wakati mkiomba kura!Waambie waongeze sauti hatujaskia Bado kilio Chao huku kwetu 😁😁😁😁
Mliachiwa mvunje Sheria Kwa sababu za cheap popularity mkajua ni Mungu wenu? Ngoja mnyooshwe kwanza.
Msoga gang nao watasemaje?Bavicha watakwambia huyo mama Ni suukumagang
Watafuatwa ndio na wataambiwa ukweli kwamba lazima Sheria ziheshimiwe,Sheri zisipoheshumiwa hakuna ustawi wao na Watoto wao..Hao ndio mtawafuata kuwaomba kura mzee! Maneno haya hamtaweza kuyasema mbele yao wakati mkiomba kura!
Endelea kulamba asali dadaWatafuatwa ndio na wataambiwa ukweli kwamba lazima Sheria ziheshimiwe,Sheri zisipoheshumiwa hakuna ustawi wao na Watoto wao..
Wanaweza kulia hata wafunge Spika ila huo ndio ukweli na hakuna kitakachobadilika...
Na yalivyo majinga unadhani nani atakuja kuwaambia kwamba mnichgue then sitofuata Sheria?
Mbona wanaemlilia alibomolea watu Maelfu ya nyumba Dar bila fidia? Likila hel za wahanga wa tetemeko bila Msaada?
Alimfukuza darasa la Saba Kwa kisingizio Cha vyeti fake yet upigaji uliendelea?
Bila Samia kuwafuta machozi hao wote walishakuwa maskini na stress Juu..
Dada ni baba Yako,harafu Wala silambi asali nawapasha naked truthEndelea kulamba asali dada
Kumbe wewe siyo Dada? Samahani bib!Dada ni baba Yako,harafu Wala silambi asali nawapasha naked truth
Wacha ujinga wewe marehemu wenu alikuwa mwovu sanaUnajua mkikutana hapa Janii forum kumponda na kumchukia JPM mna dhani watu sote wanaakili ya Kibanda,Ngurumo na Meena!
Sema kwenye moyo wakoApumzike kwa Amani
Hakika Umeacha Alama kwenye Mioyo ya Watanzania
Ben watch8, mtundu lissu, azory, kinaina, marope just to mention but a few.. even kikweiti were told to shut their mouth and kuacha kiherehere!!!!!! Many were picked ud dead alongside seashores..JPM Was a greatest leader ever.
Acha na wananchi vipi hao mazee wa hovyo? Je ndo wanahitajika na taifaMat
Matokeo ya siasa za kipropaganda zinazodumaza fikra.
Ni muhimu wananchi kujua kutumia njia sahihi kwa wakati sahihi kupambana na changamoto zinazowakabili.
Lazima wajengwe hivyo.
Mnaoandika vitabu, haya mliyafikilia pia?
Au pesa za mafisadi zimewafunga macho msione?
Sasa ni miaka miwili kaburini! Mtawaambia nini wananchi kama hawa wakaelewa ngonjera zenu?
.... that's obvious! If that's the case wasitujazie nyuzi za ajabu ajabu humu!Hata wwe ipo siku uwepo wako utakoma,na kuondoka kwako kutadumu milele,usijisahau sana ndugu,kifo hakina hodi!!!
Hawana lolote wakipewa kofia na sinia moja la wali nyama washasahau Kila kitu