Video: Watu wenye maoni ya kuikera serikali kama huyu dada ndio wasiotakiwa na serikali ya CCM. Sitashangaa polisi wakimkamata kwa uchochezi!!

View attachment 2753882

Kwa ufupi na kwa uchache;

"Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!"

"Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine alikosea. Kauli hiyo ingetolewa na Mwenyekiti wa Kijiji au serikali ya mtaa au balozi wa nyumba kumi isingeshangaza. Lakini kutolewa na Rais, basi ni dharau na bila shaka kuna shida mahali.."

"..Sioni substance wala contents zozote kwenye hotuba zote za Rais Samia Suluhu Hassan"

"Na Rais kwenye ziara zake hajasema lolote kuhusu mkataba mbovu wa bandari. Ni Kwa sababu hata yeye mwenyewe hana majibu ya jambo hili"

Credit & Courtesy to Jambo TV

Hakuna uhuru usio na mipaka sheria pia hairuhusu mtoto kupigwa ila akikosea mbona tunawapa kipigo
Asa kila mtu akiachwa aropoke anavyojiskia serikali c itakua ya kiboya
 
Huyu dada Mungu amjaalie maisha marefu na ULINZI
 
Unaweza kumtukana na mauchafu yote! kwa sababu wewe ni mdudu mchafu chawa ni mchafu tu!
Mbuzi mee wewe bandari yetu inahongwa uarabuni unataka tushangilie! Madudu mengine yamejulikana ile IGA ni ya kugushi! halafu utasema kuna kiongozi pale!
Kumbuka maneno haya leo! Majizi hayatatawala tena Tanganyika! mark my words! Mwisho wa huyu unayemtetea ni 2025 tukimhurumia!
Umepanick? Inauma? Huyu anaemtusi rais humuoni? Acheni ushamba nyie, nyie ni n'gombe tu, mmezaliwa mkakua kama miti porini hamjui ustaarabu wala uungwana kwendeni zenu urundi urwanda huko hapa tanzania ni inchi ya wastaarabu, nguruwe kama nyie kwenu ni porini, nyangau mkubwa

Mama yupo mpaka 2030, wagalatia endeleeni kuumia kwa sana tu
 
Hujamsikiliza na kumwelewa..

Hayo mengine ni yako..

By the way, yeye hataki hayo, yes....

Je, wewe unataka nini na huwa unauza nini? Nyuma au mbele yako?
Tuanze na wewe kwanza, huwa unauza nini? Nyuma?
Kumtusi rais umeona sawa, ila yeye kuambiwa ukweli umeoanick?
Malaya ni malaya tu
Hata umfanye nini kunguru hafugiki

Hapa wagalatia hata muumie vipi ni mpaka 20300000000000 hukoooo umri ukiwepo
Yaani mtaandika mpaka vidole vivimbe na mtasema mpaka midomo ipasuke ni mama ni mama ni mama tu
 
View attachment 2753882

Kwa ufupi na kwa uchache;

"Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!"

"Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine alikosea. Kauli hiyo ingetolewa na Mwenyekiti wa Kijiji au serikali ya mtaa au balozi wa nyumba kumi isingeshangaza. Lakini kutolewa na Rais, basi ni dharau na bila shaka kuna shida mahali.."

"..Sioni substance wala contents zozote kwenye hotuba zote za Rais Samia Suluhu Hassan"

"Na Rais kwenye ziara zake hajasema lolote kuhusu mkataba mbovu wa bandari. Ni Kwa sababu hata yeye mwenyewe hana majibu ya jambo hili"

Credit & Courtesy to Jambo TV
Dada kaongea point apewe maua yake.
 
Duh kuna watu walienda shule kusomea ujinga sidhani kama ulitumia kichwa kusikia alichozungumza
Nilitumia kichwa, tena kile kichwa chenye kuleta vichwa (uboho)
Washamba wakubwa nyie, yaani mnataka kila mtu afate mnachotaka? Mie naona kaongea pumba tu
 
Umepanick? Inauma? Huyu anaemtusi rais humuoni? Acheni ushamba nyie, nyie ni n'gombe tu, mmezaliwa mkakua kama miti porini hamjui ustaarabu wala uungwana kwendeni zenu urundi urwanda huko hapa tanzania ni inchi ya wastaarabu, nguruwe kama nyie kwenu ni porini, nyangau mkubwa

Mama yupo mpaka 2030, wagalatia endeleeni kuumia kwa sana tu
Wezi mnajua kuteteana lakini ni ukweli kwamba mama yenu hatoshi kabisa
 
Nilitumia kichwa, tena kile kichwa chenye kuleta vichwa (uboho)
Washamba wakubwa nyie, yaani mnataka kila mtu afate mnachotaka? Mie naona kaongea pumba tu
Unajisikiaje kuwa mtetezi wa wala rushwa na wabadhirifu wa fedha za umma?
 
View attachment 2753882

Kwa ufupi na kwa uchache;

"Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!"

"Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine alikosea. Kauli hiyo ingetolewa na Mwenyekiti wa Kijiji au serikali ya mtaa au balozi wa nyumba kumi isingeshangaza. Lakini kutolewa na Rais, basi ni dharau na bila shaka kuna shida mahali.."

"..Sioni substance wala contents zozote kwenye hotuba zote za Rais Samia Suluhu Hassan"

"Na Rais kwenye ziara zake hajasema lolote kuhusu mkataba mbovu wa bandari. Ni Kwa sababu hata yeye mwenyewe hana majibu ya jambo hili"

Credit & Courtesy to Jambo TV
such a brain kudos
 
Ona sasa, kwa vile sifuati utakavyo unanitusi mjinga, basi sawa nguruwe pori endelea kuungana na nguruwe pori wenzako, sie wajinga tuachieni tumuunge mkono mama
Sawa mtetezi wa wezi na wabadhirifu wa mali za umma
 
Nilishangazwa juzi majibu ya binti yangu wa Fomu 2 anayesoma shule moja ya masista nilipomuuliza mtazamo wake juu ya Rais Samia.

Nilimuuliza kama shule wanaonaje utendaji wa Rais.Alianza kwa kuuliza kwa nini Rais ameuza bandari.Akasema hayo huwa wanaambiwa na walimu shuleni ambayo ni ya bweni.

Kwa mtoto mdogo kama yeye kuwa na mtazamo wa aina hiyo dhidi ya Rais ni hatari.
CCM tujitafakari.Tumechafuka.
 
Back
Top Bottom