zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
View attachment 2753882
Kwa ufupi na kwa uchache;
"Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!"
"Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine alikosea. Kauli hiyo ingetolewa na Mwenyekiti wa Kijiji au serikali ya mtaa au balozi wa nyumba kumi isingeshangaza. Lakini kutolewa na Rais, basi ni dharau na bila shaka kuna shida mahali.."
"..Sioni substance wala contents zozote kwenye hotuba zote za Rais Samia Suluhu Hassan"
"Na Rais kwenye ziara zake hajasema lolote kuhusu mkataba mbovu wa bandari. Ni Kwa sababu hata yeye mwenyewe hana majibu ya jambo hili"
Credit & Courtesy to Jambo TV
Hakuna uhuru usio na mipaka sheria pia hairuhusu mtoto kupigwa ila akikosea mbona tunawapa kipigo
Asa kila mtu akiachwa aropoke anavyojiskia serikali c itakua ya kiboya