Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

mnasema kweli huyu aliwahi kuwa waziri na balozi pia!? Em ngoja kwanza ni-Google. ......narudi
 
Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia.

Haya ni matukio machache wanayoyapata wana CCM walio wengi baada ya kutumiwa na CCM. Kuna Ile ya wale police pia wakilalamika kuwa na salary ndogo
View attachment 3289361
Msipende kuingilia mambo na ndoa za watu. Kesho wanaweza kuyamaliza mkaaibika bure
 
Wanasema usiamini kila unachokiona mtandaoni King Kong III njoo kuthibitisha taarifa hizi ni za kweli au ndio km mambo yale ya yule mama wa Kitchen?
Ni kweli endelea kutoamini ,clip na maelezo ni tofauti kabisa ,huyo jamaa(ofisa mstaafu) alikuwa anamtolea vitu vyake huyo mwanamke aondoke ,jamaa bado kiuchumi yupo fresh ila mwanamke kamgeuzia kibao kwamba amemuibia vyombo......Jungu kuu halikosi ukoko hata kama awamu ya sita imemuweka benchi hawezi kuchoka mpaka kuishia kuiba hayo malonyalonya.
 
Ni kweli endelea kutoamini ,clip na maelezo ni tofauti kabisa ,huyo jamaa(ofisa mstaafu) alikuwa anamtolea vitu vyake huyo mwanamke aondoke ,jamaa bado kiuchumi yupo fresh ila mwanamke kamgeuzia kibao kwamba amemuibia vyombo......Jungu kuu alikosi ukoko hata kama awamu ya sita imemuweka benchi hawezi kuchoka mpaka kuishia kuiba hayo malonyalonya.
Hapo nimeelewa sasa hii ni fake news
 
Haya ni matukio machache wanayoyapata

1 May 2025
# PART 1 : VIDEO ya WAZIRI MSTAAFU PEREIRA AKIWA na KISU - MKEWE AFICHUA MAZITO CHANZO CHA UGOMVI WAO


View: https://m.youtube.com/watch?v=Cek8IkCC4yc

Bi. Mwanaamina mtalaka wa waziri wa zamani balozi Silima Pereira Silima asimulia yote kwa Global TV online ...

Balozi Pereira Ame Silima mbali ya kushika nafasi za uwaziri, balozi akiiwakilisha Tanzania kule Comoro pia aliwahi kuchukua fomu ya kutia nia ateuliwe kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia chama cha CCM..

Mali walizochuma wana ndoa hawa zaweka wazi na Bi. Mwanaamina, mivutano ndani ya ndoa kabla ya kupigwa talaka 3, lakini balozi Pereira Ame Silima...

Vuta ni Kuvute juu ya mali za mabilioni ya shilingi katika majumba manne n.k kabla ya balozi Pereira Ame Silima kufilisika ...na sababu za balozi kuzidiwa madeni zawekwa wazi ni kutokana na ....
 
Kama anendekeza wanawake lazima limkute jambo MTU mjinga Kama huyo ambaye amepata bahati kubwa anabidi asionewe huruma
 
Kataa ndoa, Mikasa katika ndoa, usaliti, utapeli unasimuliwa na watanzania wenzetu :


04 May 2025
MUME AJIBU TUHUMA NZITO za MKE KISA NYUMBA - ''WIKI 1 TULIVYOFUNGA NDOA AKATAFUTA MUME MTANDAONI''


View: https://m.youtube.com/watch?v=W7JIdQTeevU

Awali mke alitoa shutuma kali kabla ya kujibiwa hao juu kwa madokumenti kibao....

1746543403364.jpeg
 
Back
Top Bottom