Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

Daah .....

Nimeumia.....

Taifa hili linawapenda watumishi wake ...

Polisi wetu ni muhimu sana kama walivyo wengine.....

Ninaiomba serikali yetu sikivu IFANYIE kazi haya....

Ninaiomba IYAFANYIE kazi haya....

Ninarudia tena kuwa serikali sikivu ya kipenzi chetu mh.Rais Daktari Chifu Hangaya IYAFANYIE kazi haya kwa kuboresha maslahi ya watumishi wetu wa kada hii !

#Tanzania kwanza kabla ya chochote aamin !!
 
Toka Maktaba :

14 May 2024
Unguja, Zanzibar

Balozi Ame Pereira Silima, ni mfano kama Wimbo wa bendi ya Msondo Ngoma - wanaume tumezaliwa kupata mateso

Mke wa Balozi Pereira Adai Kuvamiwa Nyumbani Kwake na Watu Wasiojulikana

View: https://m.youtube.com/watch?v=4v8uLwQUJEQ
Bi. Mwanaamina asimulia mikasa inayoikumba familia ya balozi mstaafu Ame Pereira Silima...

Waziri aliingia mikononi mwa shangingi
 
fanya yote lakini usiombe ugombane na mwanamke wa kiswahili. ona jamaa kasimama kama mti mkavu hata hajui aanzie wapi kusolve hii aibu.
 
Wanawake wakizanzibar wanakelele sana na usiombe uwe huna kitu utaoneshwa kila aina ya dharau!
 
Nyumba yake kashindwa kuimalizia na Wazanzibar tabia hawana utamaduni wa Kusomesha watoto, yani Wazanzibar maisha yao ya familia wao wanaishi kama jamii ya ndege au Wanyama yani wao Wanaume akishamzalisha Mwanamke anaondoka anzkua hana habari nae kama Mbwa au Mbuzi, Kuku.
Asee nimecheka sana
 
Hii itawafanya waliopo madarakani Sasa kuiba sana kukwepa aibu hii.
Ila biashara ya mabasi haitawalinda Kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom