Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

Mimi sio CCM ila hapa unawaonea, mtu alipewa unaibu waziri, ubalozi....kwa sababu ya tabia zake amefika hapo alipo leo, CCM inahusikaje? maisha ni kupanga, kuna watu hawajahi kupata na hawatakaa wape exposure aliyopata jamaa lkn wamekuwa na nidhamu na kile kidogo wanachopata na maisha yanaendelea...tuwe na nidhamu ya hela!!
Aliwekeza sana kwenye zip huyu

Ova
 
Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia.

Haya ni matukio machache wanayoyapata wana CCM walio wengi baada ya kutumiwa na CCM. Kuna Ile ya wale police pia wakilalamika kuwa na salary ndogo
View attachment 3289361
Naomba video ya hao Police inbox tafadhari
 
Hata alivyotaka kuibiwa huyo demu ni mali ya Watanzania,

Mawaziri na viongozi mbalimbali wa serikali wengi wamejilimbikizia mali zetu, muda utafika wataishi kwenye laana na fedheha

Mungu hadhihakiwi, upandachp ndicho utavuna
 
Mwanzo mgumu Kaingia kwenye sector mpya ya wizi ila bado hajapata uzoefu ndo maana kakamatwa ila naomba asikate tamaa aendelelee kufanya mazoezi kadri anavyoendelea atakua mwizi mzuri na hatakamatwa tena
 
Back
Top Bottom