Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

Tupe mfano wa mwanaccm mwizi ambae alidaiwa vitu na hawara au upo nae vijiweni baada ya kumaliza kulitumikia taifa huru la Tanzania. Alafu uje ufatilie huyo bwana na visanga vya wanawake.
 
Kipochi manyoya ndio ukomo wa ujanja wa wanaume.

Neng'eneka kote, ikifika pale hata bouncer anakuwa dhaifu.
Huo 👆 👆 ni Ukweli mtupu bro. Hata yule Samson bouncer wa mabouncer alipofika "hapo" kwa Delila aligwaya mazima na akaifichua siri ya Ubouncer wake. Ndo mana tunaaswa sana tuishi nao kwa akili.
 
Mwanzo mgumu Kaingia kwenye sector mpya ya wizi ila bado hajapata uzoefu ndo maana kakamatwa ila naomba asikate tamaa aendelelee kufanya mazoezi kadri anavyoendelea atakua mwizi mzuri na hatakamatwa tena
Ukizingatia kwamba na Wenye mali nao wanazidi kuibua mbinu nzuri na mpya za ki-Ulinzi; huyo mwamba atakamatwa tu kwa sababu kila uchao akienda huko uwizini atakutana na mbinu mpya za ulinzi zilizorekebishwa.
 
Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia.

Haya ni matukio machache wanayoyapata wana CCM walio wengi baada ya kutumiwa na CCM. Kuna Ile ya wale police pia wakilalamika kuwa na salary ndogo
View attachment 3289361
Clip fupi sanaaa, ila ukweli wanawake wa kizanzibara waongeaji sanaa
 
Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia.

Haya ni matukio machache wanayoyapata wana CCM walio wengi baada ya kutumiwa na CCM. Kuna Ile ya wale police pia wakilalamika kuwa na salary ndogo
View attachment 3289361
Sio wana CCM tu,hata Chadema wapo,wanawake sio wa kuwaamini 100%,akishavurugika huwa anakuwa mbaya kuliko nyoka...
 
Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia.

Haya ni matukio machache wanayoyapata wana CCM walio wengi baada ya kutumiwa na CCM. Kuna Ile ya wale police pia wakilalamika kuwa na salary ndogo
View attachment 3289361
Sasa kama ni mwizi asikamatwe? 😁😁😁
 
Back
Top Bottom