Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

Mstafu wa ngazi za juu ana hendekeza wanawake ndio maisha yamempiga
Nyumba yake kashindwa kuimalizia na Wazanzibar tabia hawana utamaduni wa Kusomesha watoto, yani Wazanzibar maisha yao ya familia wao wanaishi kama jamii ya ndege au Wanyama yani wao Wanaume akishamzalisha Mwanamke anaondoka anzkua hana habari nae kama Mbwa au Mbuzi, Kuku.
 
Hahaha duuh
 
Huo 👆 👆 ni Ukweli mtupu bro. Hata yule Samson bouncer wa mabouncer alipofika "hapo" kwa Delila aligwaya mazima na akaifichua siri ya Ubouncer wake. Ndo mana tunaaswa sana tuishi nao kwa akili.
na akina Samson wanakuwaga na Sifa moja. Hawanywi pombe, wapole, wanahekima

Samson wa kwenye Biblia hakuwahi kunywa pombe
Samson alikuwa Judge kiongozi wa Waisrel wote, maana yake akili yake ilikuwa iko sawa, Shida ni Umalaya... Unaambiwa aliwahi kwenda Gaza kufata pussy kwa maadui😅 😅 😅 😅
Mfatilie hata huyu waziri
 
Silaha ya mwanamke ni mdomo, Sheria Iko upande wao, jamii inawatetea hata Kama wamekosea.

Inasikitisha mwanaume kushadadia mwanaume mwenzio kuona anadhalilishwa.

Ninachoamini, huyu Mzee hapo Kuna namna kagundua hapa niliingia Chaka akaamua kuondoka na vitu vyake, lakini mwanamama kaja juu anadai ni vya kwake.

Wanaume tuwe makini sana, usipumbazike na I love you nyingi, maadam unaijua tabia ya huyo mwanamke uliye naye, Kaa chonjo muda wowote kikiwaka unasepa kimya kimya.

Tengeneza maisha yako pembeni, weka hata shba boy awe anaangalia hiyo nyumba, weka mifugo ambayo huyo mwanamama hatajua asilani.

Hii itasaidia kuondoa msongo wa mawazo kwa wanaume na wazee wetu.

Kumbuka: hata ujitetee vipi, jamii haiko upande wako, na watoto hawako upande wako!

THINK
 
Mwanzo mgumu Kaingia kwenye sector mpya ya wizi ila bado hajapata uzoefu ndo maana kakamatwa ila naomba asikate tamaa aendelelee kufanya mazoezi kadri anavyoendelea atakua mwizi mzuri na hatakamatwa tena
Inaelekea aliwekeza kwa mchepuko, wamezinguana ameamua kubeba vitu alivyohonga
 
Silima nadhani huyo mwanamke hawawezani tena, amuache tu, aoe mke mdogo, huyo kwa mdomo huo sio mke wake tena, lakini huyo mzee nae wanawake watamuua, mlaku mlaku sana, akiona msambwanda mate kama fisi, ndio malipo yake hayo.
 
Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia.

Haya ni matukio machache wanayoyapata wana CCM walio wengi baada ya kutumiwa na CCM. Kuna Ile ya wale police pia wakilalamika kuwa na salary ndogo
View attachment 3289361
Duuuu! Uheshimiwa kwisha. Hatari sana
 
Mnailaumu bure ccm. Kwa nafasi alizopata huyu labda alitumbua vibaya.
Hata walimu kwa vimishahara vyao na bima za last class wanajitahidi.
Au mkuu ulitaka ccm imjengee pia na kumpa nusu mshahara kama spika
 
Back
Top Bottom