Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Huyu mtandika kitanda wa mwenyekiti ni wa hovyo Sana. Toka gaidi waweke ndani anafuatilia mambo yasiyomhusu, nyumbu hovyo kabisa.Wajeda walienda kwa zumaridi na samasi mbaya zaidi wakamtembezea na kichapo, ngoja tuone
hii picha inatia aibu sana
[emoji38][emoji38][emoji38]hii picha inatia aibu sana
Lile kalio hamna tena
Hii picha inaonyesha mamlaka makubwa aliyonayo yupo juu ya mhimili wa mahakama
Na ndio inatakiwa iwe hivo huwez kuwa huna impact anywhere ukapewa heshima nooop....Tatizo wabongo wengi tumezoea kuwapa watu heshima kwa vyeo, muonekano, hali ya maisha mfano tajiri, elimu nk.
Kwahiyo mtu akiwa hana hivyo vitu au hali tunamchukulia kawaida sana. Hili ni tatizo!
Wewe ni mpuuzi wa kupuuzwa, life ya Makonda ni high na anatembea na bodyguard.Endelea kuota ndoto tu.. anahaha maisha ile mbaya.. V8 hakuna sasa anapanda toyo tu mchana na usiku
Nasubiri videoIla jamani nyie ! usiombee watu wakupuuze aiseee !! yaani Makonda ameshiriki msiba utadhani kaingia Dar jana kutoka Kolomije , yaani watu hata kumpa salamu hakuna kabisa ! hii si sawa kabisa , Ama kweli Cheo ni kama koti la kuazima .
Nadhani sasai ile karatasi ya kuitwa Mahakamani amekwishakabidhiwa
Tutajitahidi kupandisha video ili mjionee wenyewe , Noma sana !
Acha unyau ebooJF kwiiisha habari yake! Uduruthi mtupuu unaoendelea sasa hivi!!
Acha fikra mbaya wewe Mzee,Hebu decrypt hii
Unamjua rikiboy??Duuuh !!
Lone dumb wolf, mkuu wa Mkoa wa hovyo kabisa tangu nchi ipate uhuru, anafua nguo za wanaume tu(ana dry cleaner), na amekodi jengo la NHC Morogoro ilipokuwa CRDB