Video yafichua IDF kuua kwa makusudi watu wa Msaada : Bado tuendelee kuamini taarifa za Israel (IDF) kwa uongo wao uliofichuliwa ?

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
17,595
Reaction score
39,893
Moja kwa moja.

Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi

Mwingine

Twende kwenye Mada...

Siku za Karibuni kulikuwa na taarifa kuwa watu 15 wa kutoa Msaada wa kibinadamu ya kitabibu huko Gaza wameuwawa wakiwa ndani ya gari ya kubebea wagonjwa "Ambulance " .

Hapo awali, Israel ilidai kuwa wanajeshi walifyatua risasi kwa sababu msafara ulikaribia "kwa mashaka" gizani bila taa za mbele au taa zinazowaka. Harakati za magari hayo hazikuwa zimeratibiwa au kukubaliwa hapo awali na jeshi.

Video ya simu ya mkononi, iliyorekodiwa na mmoja wa wahudumu wa afya waliouawa, ilionyesha magari yalikuwa na taa zimewashwa walipokuwa wakijibu wito wa kusaidia watu waliojeruhiwa.

Baada ya hapo miili yote waliikusanya kwa pamoja na kuifukia , mpaka baada ya wiki moja ilipogunduliwa na kipande cha video kukutwa ndani ya simu ya mmoja ya waliowawa .

Utata unaojitokeza

Official statement ya version ya story ya mauaji ya msafara kutoka mamlaka ya Israel kabla ya video , inapingana kabisa na yale yalionekana kwenye video hiyo na kuonyesha jinsi gani walivyokuwa waongo na mahodari wa kutunga uongo kuusambaza na kuupamba uonekane kuwa ukweli .

Sasa hili limeoneka wazi hapo isingekuwa ushahidi mpaka Leo watu wangeaminishwa uongo je , vipi katika mengine ambayo tunaendelea kuaminishwa na IDF kuhusu maaji ya raia na mgogoro huu kwa ujumla tuwaamini ?

Inasikitisha sana, baada ya kuumbuliwa wameamua kukiri uongo, wao kwani kuwa mkweli mtu unapungukiwa kuliko kutaka kuwaBrainwash machawa na wengineo ?
Screenshot_20250406_060131.jpg

#Uzi unaendelea
 
Msije kusema taarifa zimetoka Al Jazeera watetezi wa Magaidi Hamas , nenda Sky news YouTube jana nimecheki Mchambuzi akichambua tukio hilo vizuri , akiwa katika hali ya huzuni kubwa kwa kile kikichofanyika na akahitimisha kwa kusema kwa hiki kilichotokea kinatia nguvu madai kuwa IDF inafanya "uhalifu wa kivita" huko Gaza

Huyo si muarabu ni Mzungu na uchunguzi wa tukio hili mpaka Kupatikana kwa clip ukifanya na chombo kikubwa cha habari Marekani Cha "New York Times"

Inabidi niseme haya sababu Kuna watu ni Brainwashed wao tayari bongo zao zimesetiwa kuona taarifa mbaya zozote kuhusu Israel hadi wanaoadamana Ulaya ni waarabu na IDF sio wahalifu kama Malaika na hao brainwashed wapo hadi upande wa Pro_Hamas wanaamini Hamas wapo katika kujipigania chochote wanachofanya ni sawa , Maarass!! all of them

Cc : The Mongolian Savage
Screenshot_2025_0405_221707.jpg
 
Kilichoniumiza katika video hiyo kijana mmoja( رَحِمَهُ ٱللَّٰهُ ) kabla ya kifo chake cha Kikatili kufatyuliwa risasi alisikika akisema .

" Nisamehe Mama hii ndio njia nilioichagua ya kusaidia watu "

Imagine kijana kaacha Mzazi wake anamtegemea ameenda kuokoa uhai wa vitoto , Wazee nk walio katika hali mbaya lakini katika kazi yake hiyo baada ya kuokoa uhai anashindwa kujikoa mwenyewe mbele ya Magaidi wa IDF na kuuwawa Kikatili huku aliacha wazazi na familia nyuma yake.
 
Hamas ni kama wanaifanyia kazi Mossad ili IDF wapate sababu ya kwenda kufanya uhalifu Gaza.

Inasikitisha sana hawa jews hakuna kitu watafanywa hata kama inaonekana shahiri dhahiri.

IDF wanaua journalists na sasa wanaua watoa msaada na akisimama Trump atawatetea. Inasikitisha.
 
Tukio la October 7 mpaka Leo sielewi kwa Nini ilitokea , yaani IDF inasifika Jeshi bora na ujasusi wote wa Mossad ila siku ile walikuwa defenseless kiasi kile mpaka Hamas kupenye kiurahisi kukaa ndani ya mipaka Yao kuua na kuteka watu wengi kiasi kile ni jambo la ajabu sana kutokana na jinsi walivyowekeza kwenye ulinzi na Hamas aliingia tu kichwakichwa kama anaenda sebuleni kwake .

Halafu Mirsi waliwapa Taarifa za kijasusi kuwa Kuna tukio kubwa litatokea Karibuni wawe na tahadhari na Hamasi walirusha hadi video za maandalizi na jinsi watakavyovamia lakini walilala kiasi kile bado sielewi.
 
Hamas ni kama wanaifanyia kazi Mossad ili IDF wapate sababu ya kwenda kufanya uhalifu Gaza.

Inasikitisha sana hawa jews hakuna kitu watafanywa hata kama inaonekana shahiri dhahiri.

IDF wanaua journalists na sasa wanaua watoa msaada na akisimama Trump atawatetea. Inasikitisha.
Ukiwa Mmarekani yupo nyuma yako basi hakuna baya wala kushitakiwa kila kitu sawa , Marekani hakemei War crimes zinazofanyika hata za wazi Bora mataifa mengine ya Ulaya kidogo yanapaza sauti na kukemea hata kinafki mfano France , Denmark , Spain nk.

Kichekesho nimeona Trump na Biden mara kadhaa wakizungumzia hali mbaya Gaza wanakwepa kutaja neno Israel unakuta wakiishia kusema tu "watu wanauwawa miundombinu inabimolewa na Kuna hali mbaya za kibinadamu kumejaa magofu " bila kutaja wahusika ni sawa na mtu anakiri kuwa "Binti amebakwa " bila kutaja muhusika na kukwepa kutaja Mbakaji
 
Moja kwa moja.

Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi

Mwingine

Twende kwenye Mada...

Siku za Karibuni kulikuwa na taarifa kuwa watu 15 wa kutoa Msaada wa kibinadamu ya kitabibu huko Gaza wameuwawa wakiwa ndani ya gari ya kubebea wagonjwa "Ambulance " .

Hapo awali, Israel ilidai kuwa wanajeshi walifyatua risasi kwa sababu msafara ulikaribia "kwa mashaka" gizani bila taa za mbele au taa zinazowaka. Harakati za magari hayo hazikuwa zimeratibiwa au kukubaliwa hapo awali na jeshi.

Video ya simu ya mkononi, iliyorekodiwa na mmoja wa wahudumu wa afya waliouawa, ilionyesha magari yalikuwa na taa zimewashwa walipokuwa wakijibu wito wa kusaidia watu waliojeruhiwa.

Baada ya hapo miili yote waliikusanya kwa pamoja na kuifukia , mpaka baada ya wiki moja ilipogunduliwa na kipande cha video kukutwa ndani ya simu ya mmoja ya waliowawa .

Utata unaojitokeza

Official statement ya version ya story ya mauaji ya msafara kutoka mamlaka ya Israel kabla ya video , inapingana kabisa na yale yalionekana kwenye video hiyo na kuonyesha jinsi gani walivyokuwa waongo na mahodari wa kutunga uongo kuusambaza na kuupamba uonekane kuwa ukweli .

Sasa hili limeoneka wazi hapo isingekuwa ushahidi mpaka Leo watu wangeaminishwa uongo je , vipi katika mengine ambayo tunaendelea kuaminishwa na IDF kuhusu maaji ya raia na mgogoro huu kwa ujumla tuwaamini ?

Inasikitisha sana, baada ya kuumbuliwa wameamua kukiri uongo, wao kwani kuwa mkweli mtu unapungukiwa kuliko kutaka kuwaBrainwash machawa na wengineo ?View attachment 3294599

#Uzi unaendelea
Nimeiona hiyo video imeniuma sana kuona jinsi wafanyakazi wa hospitali walivyouliwa,mmoja alisali kwa mara ya mwisho wakati anakata roho,mmoja alimuaga mama yake huku akimuomba msamaha mama yake kuwa,kwaheri mama,mimi nakufa,nilichagua kazi hii ya kuwatibu binadamu wenzangu,lakini nakufa sasa mama,buriani mama
 
Inasikitisha sana mkuu , Duniani hakuna hakinu haki ya kweli Wababe wanatawala .

Hii sio mara ya kwanza kabla ya hii waliwauwa hawa ambao walijitolea kwenda kupika msosi na kuwalisha raia wa Gaza , hii viongozi wengi wa Ulaya walilaani sababu iliwagusa Wazungu wenzao ambao kwa roho safi ya kibinadamu waliamua kujitolea .

Gari la Msaada limeandikwa kabisa ila IDF ikashusha bomu katika na kuua raia ambao wengi walikuwa Wazungu ila as long as wana USA hawatochukuliwa hatua yeyeto wala kukemewa kama inavyopaswa kukemea kwa uhalifu wa namna hii..
images (49).jpeg
 
Moja kwa moja.

Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi

Mwingine

Twende kwenye Mada...

Siku za Karibuni kulikuwa na taarifa kuwa watu 15 wa kutoa Msaada wa kibinadamu ya kitabibu huko Gaza wameuwawa wakiwa ndani ya gari ya kubebea wagonjwa "Ambulance " .

Hapo awali, Israel ilidai kuwa wanajeshi walifyatua risasi kwa sababu msafara ulikaribia "kwa mashaka" gizani bila taa za mbele au taa zinazowaka. Harakati za magari hayo hazikuwa zimeratibiwa au kukubaliwa hapo awali na jeshi.

Video ya simu ya mkononi, iliyorekodiwa na mmoja wa wahudumu wa afya waliouawa, ilionyesha magari yalikuwa na taa zimewashwa walipokuwa wakijibu wito wa kusaidia watu waliojeruhiwa.

Baada ya hapo miili yote waliikusanya kwa pamoja na kuifukia , mpaka baada ya wiki moja ilipogunduliwa na kipande cha video kukutwa ndani ya simu ya mmoja ya waliowawa .

Utata unaojitokeza

Official statement ya version ya story ya mauaji ya msafara kutoka mamlaka ya Israel kabla ya video , inapingana kabisa na yale yalionekana kwenye video hiyo na kuonyesha jinsi gani walivyokuwa waongo na mahodari wa kutunga uongo kuusambaza na kuupamba uonekane kuwa ukweli .

Sasa hili limeoneka wazi hapo isingekuwa ushahidi mpaka Leo watu wangeaminishwa uongo je , vipi katika mengine ambayo tunaendelea kuaminishwa na IDF kuhusu maaji ya raia na mgogoro huu kwa ujumla tuwaamini ?

Inasikitisha sana, baada ya kuumbuliwa wameamua kukiri uongo, wao kwani kuwa mkweli mtu unapungukiwa kuliko kutaka kuwaBrainwash machawa na wengineo ?View attachment 3294599

#Uzi unaendelea
adriz jana nilianza kuona bandiko lako lilinifanya nifikiri sana sana. Leo hii nimeona tena umekuja na uzi huu ambao umenifanya ni Jiulize sana wewe ni mtu wa namna gani? Kwa maelezo yako umesema wewe si Pro-Hamas na wala si Pro- Jews kwa lugha rahisi wewe ni Popo huna Msimamo na binafsi siwezi kukubali Propaganda zako za kujidai wewe si Pro-Hamas wakati ni ndivyo ulivyo. Twende kwenye mada uliyoianzisha kwanza umeambatanisha habari kutoka BBC na SkyNews kana kwamba wao ni malaika hawahongwi na wala hawashawishiwi na mtu kutoa habari zao wakati vyombo hivyo vya habari vimekuwa vikionyesha upendeleo wa hali ya juu sana hasa kwenye mgogoro huu wa Mashariki ya kati lakini inabidi kuangalia matukio yote kwa jicho la tatu. Kwanza kabisa lazima utambue Hamas toka mwanzo wanatumia Nyumba za Ibada kama vile Misikiti na Makanisa kama ngao kutekeleza uhalifu wao vile vile wanatumia Shule,Hospitali na majengo ya taasisi kutekeleza azima yao mbovu , vilevile wanawatumia wanawake na watoto kama kinga ( Human-Shield ) ili tu ukiwagusa sehemu hizo walikojificha basi wanakuangushia zigo kuwa umeua watu wasio na hatia. Kumbuka pia hii mbinu inatumiwa na MAGAIDI kotę duniani wakiwemo Hamas na wana Taasisi ya Propaganda ambayo wakifanya tukio au ukiwafuata kwenye maeneo niliyoyataja wanatumia vyombo mbalimbali kueneza huo uongo na mara nyingi sana wana watu wao kwenye vyombo Vingi vya habari hata huko BBC,CNN,SKYNEWS na huko ALJAZEERA ndo kwa mdau wa Ugaidi kabisa lazima Aitangazę kwa mbwembwe nyingi sana. Sasa turudi kwenye habari yako hii iliyotokea March 23,2025 ambako ilisemekana waliuwawa watoa huduma za afya 15 ni kweli kabisa Jeshi la Israel lilikubali kuwaua kwa majibizano ya risasi sasa uchunguzi ulipokuja kufanywa ilionekana wazi hao walikuwa ni Magaidi wa Hamas pia baada ya kufukuliwa miili yao 7 kati yao ilionekana ni wapiganaji wa hamas na baada ya ku Preview hiyo video ilionekana wazi ni magaidi wakishuka kwenye gari wakiwa na silaha za moto na walianza kuwashambulia askari wa Israel na walipozidiwa nguvu waliuwawa wote alipona mmoja ambaye alilala chini ya gari hii inaonyesha wazi ni jinsi gani magaidi wanavyotumia vibaya magari ya wagonjwa huko huko Gaza na hiyo ndiyo hulka ya Magaidi kotę duniani.
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    7 MB
Moja kwa moja.

Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi

Mwingine

Twende kwenye Mada...

Siku za Karibuni kulikuwa na taarifa kuwa watu 15 wa kutoa Msaada wa kibinadamu ya kitabibu huko Gaza wameuwawa wakiwa ndani ya gari ya kubebea wagonjwa "Ambulance " .

Hapo awali, Israel ilidai kuwa wanajeshi walifyatua risasi kwa sababu msafara ulikaribia "kwa mashaka" gizani bila taa za mbele au taa zinazowaka. Harakati za magari hayo hazikuwa zimeratibiwa au kukubaliwa hapo awali na jeshi.

Video ya simu ya mkononi, iliyorekodiwa na mmoja wa wahudumu wa afya waliouawa, ilionyesha magari yalikuwa na taa zimewashwa walipokuwa wakijibu wito wa kusaidia watu waliojeruhiwa.

Baada ya hapo miili yote waliikusanya kwa pamoja na kuifukia , mpaka baada ya wiki moja ilipogunduliwa na kipande cha video kukutwa ndani ya simu ya mmoja ya waliowawa .

Utata unaojitokeza

Official statement ya version ya story ya mauaji ya msafara kutoka mamlaka ya Israel kabla ya video , inapingana kabisa na yale yalionekana kwenye video hiyo na kuonyesha jinsi gani walivyokuwa waongo na mahodari wa kutunga uongo kuusambaza na kuupamba uonekane kuwa ukweli .

Sasa hili limeoneka wazi hapo isingekuwa ushahidi mpaka Leo watu wangeaminishwa uongo je , vipi katika mengine ambayo tunaendelea kuaminishwa na IDF kuhusu maaji ya raia na mgogoro huu kwa ujumla tuwaamini ?

Inasikitisha sana, baada ya kuumbuliwa wameamua kukiri uongo, wao kwani kuwa mkweli mtu unapungukiwa kuliko kutaka kuwaBrainwash machawa na wengineo ?View attachment 3294599

#Uzi unaendelea
Kinachonikera zaidi ni majibu ya Israel katika mashambulio yao yanayowaua raia au watu wasiohusika. Wana majibu ya mzaha, yasiyo na utu kabisa. Daima yanafanana na haya.. Sisi tumeshambualia ngome ya hamas, tulishambulia makazi ya kiongozi wa hamas, Ile hospitali ina kambi ya hamas.
Yaani wao hawajali chochote, Bora majibu yao yataje hamas, wanaona wametoa maelezo yenye kuhalalisha mauaji ya raia. Sasa watu waliokufa wanafikia zaidi ya 50,000(hamsini elfu), je hao wote ni hamas?
 
Inasikitisha sana mkuu , Duniani hakuna hakinu haki ya kweli Wababe wanatawala .

Hii sio mara ya kwanza kabla ya hii waliwauwa hawa ambao walijitolea kwenda kupika msosi na kuwalisha raia wa Gaza , hii viongozi wengi wa Ulaya walilaani sababu iliwagusa Wazungu wenzao ambao kwa roho safi ya kibinadamu waliamua kujitolea .

Gari la Msaada limeandikwa kabisa ila IDF ikashusha bomu katika na kuua raia ambao wengi walikuwa Wazungu ila as long as wana USA hawatochukuliwa hatua yeyeto wala kukemewa kama inavyopaswa kukemea kwa uhalifu wa namna hii..View attachment 3294619
Acha kulalamika ovyo ovyo ni kawaida ya magaidi kutumia usafiri wa raia na mara nyingi walitumia hayo magari kusafiria hebu vaa wewe uhusika je ungefanyaje? Nilitarajia utawalaum sana hamas kwa kutumia vibaya magari yanayohudumia jamii
 
Uchambuzi na Tathmini

Ni nini hasa kilitokea hapa? Jibu, IMO, litakuchukiza.

| Uchambuzi |
Taarifa za awali kutoka kwa wanajeshi wa serikali ya IDF walifyatua risasi kwa magari ambayo yalikaribia kituo cha ukaguzi bila kutangazwa, na bila taa zinazoonekana.

Video mpya iliyotolewa inaonyesha gari upande wa kushoto ambalo linaonekana "kuanguka" bila taa zinazoonekana. Huenda hili ndilo gari ambalo awali lilirushwa na IDF. Ni muhimu kutambua kwamba ingawa inawezekana, haiwezekani sana kwamba gari la kushoto lilikuwa limezimwa kabisa (ikiwa ni pamoja na nguvu ya betri) na risasi ya awali.

Zaidi ya hayo, magari mengi yako kwenye eneo la tukio kabla ya gari la mpiga picha kuwasili. Milio ya risasi bila mpangilio inaweza kusikika gari linapokaribia. Hizi ni uwezekano wa kufyatuliwa risasi na IDF ambazo zilipuuzwa na Shirika la Hilali Nyekundu la Palestina (PRC). Kwa nini?

Gaza iko na imekuwa eneo la mapigano kwa zaidi ya mwaka mmoja. Wapalestina, hasa PRC, wanafahamu vyema kwamba harakati katika gari usiku, karibu na kituo cha ukaguzi cha IDF, bila taa zinazoonekana zitakutana na nguvu mbaya. Zaidi ya hayo, matabibu wanaofanya kazi huko Gaza wana njia ya moja kwa moja ya mawasiliano na IDF ili kuondoa migogoro kwa matukio kama haya. Mawasiliano hayo hayajatolewa na PRC. Kwa nini?

Nani aliripoti tukio hili kwa madaktari, na kwa nini watabibu walijibu tukio hili bila kuwasiliana na IDF?

Kwa nini video ya urefu kamili haikutolewa? Ikiwa PRC ilifikiri huu kuwa uhalifu wa kivita, je, hawangeandika simu inayokuja, ripoti zao za awali kuhusu tukio hili, na matukio yote kuelekea wakati huu?

Raman iliisha tarehe 03/29/2025. Katika imani ya Kiislamu, Waislamu wanaokufa shahidi, hasa wakati wa Ramadhani, wanahesabiwa kuwa wamepata hadhi ya juu, kwa ahadi ya Pepo na msamaha wa dhambi, ambayo inasisitiza dhabihu yao ya mwisho kwa ajili ya haki na njia ya Mwenyezi Mungu.

| Tathmini |
Ikiwa PRC ilikuwa na uwazi, wangetoa yafuatayo:

- Ripoti ya awali ya tukio kwa majibu yao
- Mawasiliano ili kuondoa migogoro na IDF
- Video ya urefu kamili ya tukio hilo

Kipengele cha kidini hakiwezi kupuuzwa pia. Tukio hili bila shaka lingewafanya kuwa "mashahidi" katika akili zao.

Kulingana na kukosekana kwa uwazi kwa PRC, ni tathmini yangu kwamba tukio hili lilifanywa na Hamas.

PRC haikueleza ni kwa nini waliitwa kwenye eneo la tukio. PRC haikuhitilafiana na IDF au kutoa ushahidi WOWOTE. PRC ilipuuza wazi risasi za onyo zilizopigwa na IDF.

Hiki kilikuwa kitendo cha kifo cha kishahidi ili kudharau IDF na kusukuma masimulizi ya mauaji ya halaiki.

View: https://x.com/angertab/status/1908604413679182112?t=1gQh5Z_HH3X73lyfVtli0g&s=19

GOD BLESS ISRAEL
 
Back
Top Bottom