adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
- Thread starter
- #61
Kwanza kabisa inatia mashaka na kusikitika kama mtoto kiume unakaa kuponda , kujadili , kuchukia na kusema vibaya Ndevu za Wanaume wenzako , unataka wawe shavu Dodo kidevu embe kama Wanawake ?Narudia tena kukueleza kuhusu hiyo taarifa!! Tukio lilipofanyika Israel walikubali kuwa ni kweli waliwaua hao watoa huduma na wale watu waliwazika kwenye eneo la tukio kuhofia mizoga hiyo kulisa na mbwa lakini baada ya kufanyika upembuzi yakinifu baada ya miili hiyo kufukuliwa ilionekana wazi watu 7 kati ya marehem hao ni magaidi wa Hamas na walikuwa na silaha sasa jiulize mtoa huduma za afya wapi na wapi na bunduki?. Baada tena ya kufanya Preview ya video ilionekana walikuwa wakishuka wakiwa na silaha kutoka kwenye miongoni mwa magari ya huo msafara na walianza kushambulia na IDF ilipojibu mashambulizi waliuwawa hao watoa huduma fake 15 sasa wewe Mmatumbi mwenzangu umeshupaza fuvu utafikiri na wewe ni Mfuga Midevu na Majini.
Nimekuambia kwenye post yangu ya kwanza kuwa wewe siyo kabisa huwezi kuwa Pro-Hamas na huwezi kuwa Pro-Jews lazima tu wewe utakuwa MNAFIKI mkubwa unauma huku na huku!!, Popo mwenye kutaka kuzinyea mbingu!! Mara mia ungejiweka wazi tu kuwa wewe ni Pro- Hamas ukajulikana. Sasa wewe unakuja hapa kutupiga bla bla za kijinga wakati wengine tunaelewa wazi kabisa kuwa wewe unatuzuga kutetea Magaidi.
Elewa Mimi mada yangu haizungumzii kama pale kulikuwa na Hamas au la bali IDF kutoa taarifa za uongozi kuhusu gari kutowasha taa nk Kisha kukiri baadae baaada ya video kutoka , hapo ndipo kwenye hoja yangu na ndipo nikaanza kutilia shaka uhakika wa taarifa za IDF.
Nasema kwa kujiamini tena Mimi sio Pro_Hamas I don't support violence and deliberately killing and kidnapping civilians. Na nasema IDF ni Magaidi wakubwa kwa jinsi wanavyoendesha operations zao za kijeshi.