Video yafichua IDF kuua kwa makusudi watu wa Msaada : Bado tuendelee kuamini taarifa za Israel (IDF) kwa uongo wao uliofichuliwa ?

Video yafichua IDF kuua kwa makusudi watu wa Msaada : Bado tuendelee kuamini taarifa za Israel (IDF) kwa uongo wao uliofichuliwa ?

Hapa dawa ni kuhama Tu sioni sababu ya kuishi eneo hatarishi kama Gaza
 
Nitasoma andiko lako vizuri nikitulia sababu na kuajdili hoja zote maana umebandanisha kama makate bila kuweka Aya .

Tambua kwamba kiini Cha andiko hili ni kuhusu Credibility ya IDF kuongopa na sio kwamba kulikuwa na Hamas au la bali waliongopa kwamba gari halikuwasha taa na BLA BLA nyingine ila baada ya video kuwaumbua ndio wakakiri kuwa walikosea na wameahidi kufanya upya uchunguzi wa Hilo tukio mwanzo mwisho , sasa kama wenyewe wamekiri kuwa kulikuwa na makosa kitu ambacho kinapingana na taarifa Yao ya awali kuhusu movement ya gari wewe nani from Kibaigwa upinge ?
Halafu shida nyingine kwa nini wamewafukia kwenye udongo na magari yao ili kuficha ushahidi? Wengine wamefungwa kamba (wanaweza kuwa walizikwa wakiwa hai) hapa ndo utata unakuja
 
Moja kwa moja.

Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi


Mwingine


Twende kwenye Mada...

Siku za Karibuni kulikuwa na taarifa kuwa watu 15 wa kutoa Msaada wa kibinadamu ya kitabibu huko Gaza wameuwawa wakiwa ndani ya gari ya kubebea wagonjwa "Ambulance " .

Hapo awali, Israel ilidai kuwa wanajeshi walifyatua risasi kwa sababu msafara ulikaribia "kwa mashaka" gizani bila taa za mbele au taa zinazowaka. Harakati za magari hayo hazikuwa zimeratibiwa au kukubaliwa hapo awali na jeshi.

Video ya simu ya mkononi, iliyorekodiwa na mmoja wa wahudumu wa afya waliouawa, ilionyesha magari yalikuwa na taa zimewashwa walipokuwa wakijibu wito wa kusaidia watu waliojeruhiwa.

Baada ya hapo miili yote waliikusanya kwa pamoja na kuifukia , mpaka baada ya wiki moja ilipogunduliwa na kipande cha video kukutwa ndani ya simu ya mmoja ya waliowawa .

Utata unaojitokeza

Official statement ya version ya story ya mauaji ya msafara kutoka mamlaka ya Israel kabla ya video , inapingana kabisa na yale yalionekana kwenye video hiyo na kuonyesha jinsi gani walivyokuwa waongo na mahodari wa kutunga uongo kuusambaza na kuupamba uonekane kuwa ukweli .

Sasa hili limeoneka wazi hapo isingekuwa ushahidi mpaka Leo watu wangeaminishwa uongo je , vipi katika mengine ambayo tunaendelea kuaminishwa na IDF kuhusu maaji ya raia na mgogoro huu kwa ujumla tuwaamini ?

Inasikitisha sana, baada ya kuumbuliwa wameamua kukiri uongo, wao kwani kuwa mkweli mtu unapungukiwa kuliko kutaka kuwaBrainwash machawa na wengineo ?View attachment 3294599

#Uzi unaendelea
VITA HAINA MACHO. HILO LIPO HIVYO.
 
Hapa dawa ni kuhama Tu sioni sababu ya kuishi eneo hatarishi kama Gaza
Sasa hichi ndo Israel anataka......Hawa wapalestina wataenda wapi?
Imagine wewe kwenu hapo gairo umazaliwa ,baba na baby wamezaliwa hapo.......anakuja mtu na bulldozer anavunja makazi yenu anakwambia hii ardhi tumepewa na mungu...so amsha sijui utafanyaje......
Bahati mbaya huyu mtu ana silaha na pesa kuliko wewe .....hapa ndo kinachowakuta wapalestina......
Mimi naona kuwaita hamas magaidi ni misrepresentation......badala yake wangeitwa resistance kama ilivyo kuwa kwa madiba against apartheid regime miaka hiyo
 
Wote mnaowatetea Hamas na wapalestina ni wanafiki,kwasababu wao ndio chanzo Cha tatizo na hamkulaani vitendo vya ukatili walivyowafanyia waisraeli tarehe17 March,hii Ngoma safari hii ni mpaka muishe wote
 
adriz jana nilianza kuona bandiko lako lilinifanya nifikiri sana sana. Leo hii nimeona tena umekuja na uzi huu ambao umenifanya ni Jiulize sana wewe ni mtu wa namna gani? Kwa maelezo yako umesema wewe si Pro-Hamas na wala si Pro- Jews kwa lugha rahisi wewe ni Popo huna Msimamo na binafsi siedzi kukubali Propaganda zako za kujidai wewe si Pro-Hamas wakati ni ndivyo ulivyo. Twende kwenye mada uliyoianzisha kwanza umeambatanisha habari kutoka BBC na SkyNews kana kwamba wao ni malaika hawahongwi na wala hawashawishiwi na mtu kutoa habari zao wakati vyombo hivyo vya habari vimekuwa vikionyesha upendeleo wa hali ya juu sana hasa kwenye mgogoro huu wa Mashariki ya kati lakini inabidi kuangalia matukio yote kwa micho la tatu. Kwanza kabisa lazima utambue Hamas toka mwanzo wanatumia Nyumba za Ibada kama vile Misikiti na Makanisa kama ngao kutekeleza uhalifu wao vile vile wanatumia Shule,Hospitali na majengo ya taasisi kutekeleza azima yao mbovu , vilevile wanawatumia wanawake na watoto kama kinga ( Human-Shield ) ili tu ukiwagusa sehemu hizo walikojificha basi wanakuangushia zigo kuwa umejuaje watu wasio na hatia. Kumbuka pia hii mbinu inatumiwa na MAGAIDI kotę duniani wakiwemo Hamas na wana Taasisi ya Propaganda ambayo wakifanya tukio au ukiwafuata kwenye maeneo niliyoyataja wanatumia vyombo mbalimbali kueneza huo uongo na mara nyingi sana wana watu wao kwenye vyombo Vinci vya habari hata huko BBC,CNN,SKYNEWS na huko ALJAZEERA ndo kwa mdau wa Ugaidi kabisa lazima Anita gazę kwa mbwembwe nyingi sana. Sasa turudi kwenye habari yako hii iliyotokea March 23,2025 ambako ilisemekana waliuwawa watoa huduma za afya 15 ni kweli kabisa Jeshi la Israel lilikubali kuwaua kwa majibizano ya risasi sasa uchunguzi ulipokuja kufanywa ilionekana wazi hao walikuwa ni Magaidi wa Hamas pia baada ya kufukuliwa miili yao 7 kati yao ilionekana ni wapiganaji wa hamas na baada ya ku Preview hiyo video ilionekana wazi ni magaidi wakishuka kwenye gari wakiwa na silaha za moto na walianza kuwashambulia askari wa Israel na walipozidiwa nguvu waliuwawa wote alipona mmoja ambaye alilala chini ya gari hii inaonyesha wazi ni jinsi gani magaidi wanavyotumia vibaya magari ya wagonjwa huko huko Gaza na hiyo ndiyo hulka ya Magaidi kotę duniani.
Umemaliza kila kitu. Safi sana.🤝
 
Sasa hichi ndo Israel anataka......Hawa wapalestina wataenda wapi?
Imagine wewe kwenu hapo gairo umazaliwa ,baba na baby wamezaliwa hapo.......anakuja mtu na bulldozer anavunja makazi yenu anakwambia hii ardhi tumepewa na mungu...so amsha sijui utafanyaje......
Bahati mbaya huyu mtu ana silaha na pesa kuliko wewe .....hapa ndo kinachowakuta wapalestina......
Mimi naona kuwaita hamas magaidi ni misrepresentation......badala yake wangeitwa resistance kama ilivyo kuwa kwa madiba against apartheid regime miaka hiyo
Kama ukisumbua utapigwa na utahamishwa tu. Kaa kwa kutulia.
 
Taifa lenye miaka zaidi ya 3000 ila kwenye Vitabu na kauli za kina Macron zinaonyesha limeundwa 1948.


White wahsing ya Bible imetumika na inazidi kutumika kudhulumu nafsi za watu.
 
Taifa lenye miaka zaidi ya 3000 ila kwenye Vitabu na kauli za kina Macron zinaonyesha limeundwa 1948.


White wahsing ya Bible imetumika na inazidi kutumika kudhulumu nafsi za watu.
Nani kudhulumiwa hapo? Unailaum Bible kwa lipi? Basi nitajie kwenye Quran yako wapalestina I Ewa tają wapi?
 
Kinachonikera zaidi ni majibu ya Israel katika mashambulio yao yanayowaua raia au watu wasiohusika. Wana majibu ya mzaha, yasiyo na utu kabisa. Daima yanafanana na haya.. Sisi tumeshambualia ngome ya hamas, tulishambulia makazi ya kiongozi wa hamas, Ile hospitali ina kambi ya hamas.
Yaani wao hawajali chochote, Bora majibu yao yataje hamas, wanaona wametoa maelezo yenye kuhalalisha mauaji ya raia. Sasa watu waliokufa wanafikia zaidi ya 50,000(hamsini elfu), je hao wote ni hamas?
Na wewe usiwe mjinga na mpumbavu unakerwa na nini? Wewe Una uhakika gani hao ni raia je hujui kuwa magaidi daima huwatumia raia kama Kinga? Kwa akili yako ndogo hutaki magaidi hao washambuliwe kwenye ngome/Makazi yao? Wewe unaona kuna ubaya gani magaidi 50,000 kufa na unashangaa nini Hamas kufikia 50,000? Binafsi hata wakifika laki ni sawa tu magaidi ni janga la dunia bora wafe tu!!
 
mbaya zaidi idf wakaleta katapila kuwafukia watu wengine ambao walikuwa hawajakata roho,haya tumuachie Mola ipo siku ataamua
Acha uongo wewe nani alikuambia kuwa kuna watu walizikwa wangali hai? Hebu tuwekee hiyo habari na sisi tuione.
 
Sasa hichi ndo Israel anataka......Hawa wapalestina wataenda wapi?
Imagine wewe kwenu hapo gairo umazaliwa ,baba na baby wamezaliwa hapo.......anakuja mtu na bulldozer anavunja makazi yenu anakwambia hii ardhi tumepewa na mungu...so amsha sijui utafanyaje......
Bahati mbaya huyu mtu ana silaha na pesa kuliko wewe .....hapa ndo kinachowakuta wapalestina......
Mimi naona kuwaita hamas magaidi ni misrepresentation......badala yake wangeitwa resistance kama ilivyo kuwa kwa madiba against apartheid regime miaka hiyo
Acha upumbavu wewe siku hizi Resistance ni Ubakaji,Kuteka watu,kuua watu na kudai fidia? Uliona wapi Mandela Alibaka na kutesa watu? Kinachofanya na Hamas ni Ugaidi!!!
 
Nitasoma andiko lako vizuri nikitulia sababu na kuajdili hoja zote maana umebandanisha kama makate bila kuweka Aya .

Tambua kwamba kiini Cha andiko hili ni kuhusu Credibility ya IDF kuongopa na sio kwamba kulikuwa na Hamas au la bali waliongopa kwamba gari halikuwasha taa na BLA BLA nyingine ila baada ya video kuwaumbua ndio wakakiri kuwa walikosea na wameahidi kufanya upya uchunguzi wa Hilo tukio mwanzo mwisho , sasa kama wenyewe wamekiri kuwa kulikuwa na makosa kitu ambacho kinapingana na taarifa Yao ya awali kuhusu movement ya gari wewe nani from Kibaigwa upinge ?
Narudia tena kukueleza kuhusu hiyo taarifa!! Tukio lilipofanyika Israel walikubali kuwa ni kweli waliwaua hao watoa huduma na wale watu waliwazika kwenye eneo la tukio kuhofia mizoga hiyo kulisa na mbwa lakini baada ya kufanyika upembuzi yakinifu baada ya miili hiyo kufukuliwa ilionekana wazi watu 7 kati ya marehem hao ni magaidi wa Hamas na walikuwa na silaha sasa jiulize mtoa huduma za afya wapi na wapi na bunduki?. Baada tena ya kufanya Preview ya video ilionekana walikuwa wakishuka wakiwa na silaha kutoka kwenye miongoni mwa magari ya huo msafara na walianza kushambulia na IDF ilipojibu mashambulizi waliuwawa hao watoa huduma fake 15 sasa wewe Mmatumbi mwenzangu umeshupaza fuvu utafikiri na wewe ni Mfuga Midevu na Majini.
Nimekuambia kwenye post yangu ya kwanza kuwa wewe siyo kabisa huwezi kuwa Pro-Hamas na huwezi kuwa Pro-Jews lazima tu wewe utakuwa MNAFIKI mkubwa unauma huku na huku!!, Popo mwenye kutaka kuzinyea mbingu!! Mara mia ungejiweka wazi tu kuwa wewe ni Pro- Hamas ukajulikana. Sasa wewe unakuja hapa kutupiga bla bla za kijinga wakati wengine tunaelewa wazi kabisa kuwa wewe unatuzuga kutetea Magaidi.
 
Sasa hichi ndo Israel anataka......Hawa wapalestina wataenda wapi?
Imagine wewe kwenu hapo gairo umazaliwa ,baba na baby wamezaliwa hapo.......anakuja mtu na bulldozer anavunja makazi yenu anakwambia hii ardhi tumepewa na mungu...so amsha sijui utafanyaje......
Bahati mbaya huyu mtu ana silaha na pesa kuliko wewe .....hapa ndo kinachowakuta wapalestina......
Mimi naona kuwaita hamas magaidi ni misrepresentation......badala yake wangeitwa resistance kama ilivyo kuwa kwa madiba against apartheid regime miaka hiyo
Hawa ni magaidi Kwa asilimia 100 ebu fikiria Ile njia waliyotumia October 7,2023.
Unadhani hii njia ilikuwa kupigania ardhi Yao ?
Mbona wapalestina wa ramallah wapo poa na wanaishi peaceful
 
Hawa ni magaidi Kwa asilimia 100 ebu fikiria Ile njia waliyotumia October 7,2023.
Unadhani hii njia ilikuwa kupigania ardhi Yao ?
Mbona wapalestina wa ramallah wapo poa na wanaishi peaceful

Ulielewa nipichoandika au ulikurupuka Kama mwehu ?
Ulielewa Kauli ya Macron walipopishana na Netanyahu kuhusu uwepo wao katika eneo Hilo wanalojinadi ni lao ?
Maswali mengi ya nini si uelezee sasa ilikuwaje??
 
Nani kudhulumiwa hapo? Unailaum Bible kwa lipi? Basi nitajie kwenye Quran yako wapalestina I Ewa tają wapi?
Wapalestina kwa kutolewa katika Ardhi waliokuwa Wanaishi muda mrefu , kuuwawa , kuporwa mali zao nk.

Wasipotajwa ndio kumaanisha Nini ? mbona hakuna mahali ilipotajwa Tanzania , Marekani , Brazili , Korea nk
 
Back
Top Bottom