Ubarikiwe yawezekana ndio hawa hawa wanakuja kwa staili yakutoa ushahidi kua vifurishi vyao vinafanya kazikuweni makini na hawa wa vifurushi vya mwaka sjui miaka miwili ukweli ni kwamba utaunganishwa kifurusi ikifika mwezi au week 3 hakuna kitu hela yako inakuwa imekwenda hivyo msiseme hamkushtulkwa mie nmelizwa tayar
Mbona inagoma mkuuWale wa TTCL kuna menyu hii hakuna anayeijua
*148*30*22#
Kwa jero tu unapata MB 800
Naomba namba yako PM Mkuu tuyajenge,Mwisho wa mwezi nimtafute huyo mwana nataka hicho cha GB 1000Kama upo Dar nikuunganishe na mshkaji mkutane, anakuunga hapo hapo na unampa hela hapo hapo.
Nilishawahi kwenda ofisi zao zilizopo Ilala lakini wana customer care mbovu Sana Yani Mtu unajibiwa kama umewalazimisha vile,fiber kuunganishwa niliambiwa inazidi million moja nikaachana nao hapa nasubiri Zuku ipite niungecopy & pestView attachment 2284716
Hivi mtafute Mr kiuno ameniunga last week cha 8GbVya tigo gb 6 vipo mkuu?
Ukiwa tayari unatuma hela au unaonana na mchizi ukiwa na hela mkononi, unachagua kifurushi then kwenye laini yako ya TTCL Unaweka TSH 500 au 1000 ( Yani T-pesa). Kuna message itakuja ya Ku activate. inakuwa tayari bando lishaingia Kwa mwaka mzima.Utaratibu upoje wa kuungwa
Nipe namba yake kwenye PMUkiwa tayari unatuma hela au unaonana na mchizi ukiwa na hela mkononi, unachagua kifurushi then kwenye laini yako ya TTCL Unaweka TSH 500 au 1000 ( Yani T-pesa). Kuna message itakuja ya Ku activate. inakuwa tayari bando lishaingia Kwa mwaka mzima.
aisee ushukuriwe kipo cha buku unapata Gb2.Wale wa TTCL kuna menyu hii hakuna anayeijua
*148*30*22#
Kwa jero tu unapata MB 800
Msitoe siri ya kambi.aisee ushukuriwe kipo cha buku unapata Gb2.
Nitafute weekend nikupeweke kwenye zuku udownload utakavyoNatamani sana kujiunga na hivi vifurushi vya TTCL , tatizo ninapoishi mtandao wa TTCL unazingua sana network huwa najiuliza sehemu gani ya DAR hii kuna network strong ya TTCL niwe naendaga hapo na laptop yangu kwenye kihotel, mgahawa wa karibu na hapo niwe nadownload siku nzima maana nina video za kudownload kama terabyte hivi
Nikutumie wapi hii ?Kuna vifurushi mkuu vimetumwa hapo juu 360,000 unapata GB 1000
Ukifanikiwa kujiunga we nomaaaisee ushukuriwe kipo cha buku unapata Gb2.
Mimi siuzi mkuu, watumie hao waliopostNikutumie wapi hii ?
Hio 1mbps ina ushahidi? Ungeweka ushahidi wake utapata wateja wengi mkuu.Kasi internet service only for Vodacom user
–Kasi 30GB unlimited+30GB Night Bonus =For only Tshs-50,000Then after bundle deplete before month end speed will throttles to 1mbps and will keep the customer connected for 30days.
*Free Mifi
–Kasi 60GB unlimited+60GB Night Bonus -For only Tshs-85,000. Then after bundle deplete before month end speed will throttles to 1mbps and will keep the customer connected for 30days.
*Free Router
–Kasi 100GB unlimited +100GB Night Bonus=For only Tshs-120,000. Then after bundle deplete before month end speed will throttles to 5mbps and will keep the customer connected for 30days.
*Free Router
Note:
–It’s a shared
* Only for Vodacom user's
Check 0744355811 to connect
Mkuu we noma [emoji92]Wale wa TTCL kuna menyu hii hakuna anayeijua
*148*30*22#
Kwa jero tu unapata MB 800
Voda ni ya matajiri.wakuu free vpn vp .wengine tunataka kitonga vifurushi vya voda garama kichizi
Mkuu we noma [emoji92]