Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

kuweni makini na hawa wa vifurushi vya mwaka sjui miaka miwili ukweli ni kwamba utaunganishwa kifurusi ikifika mwezi au week 3 hakuna kitu hela yako inakuwa imekwenda hivyo msiseme hamkushtulkwa mie nmelizwa tayar
Ubarikiwe yawezekana ndio hawa hawa wanakuja kwa staili yakutoa ushahidi kua vifurishi vyao vinafanya kazi
 
Ukiwa tayari unatuma hela au unaonana na mchizi ukiwa na hela mkononi, unachagua kifurushi then kwenye laini yako ya TTCL Unaweka TSH 500 au 1000 ( Yani T-pesa). Kuna message itakuja ya Ku activate. inakuwa tayari bando lishaingia Kwa mwaka mzima.
Nipe namba yake kwenye PM
 
Natamani sana kujiunga na hivi vifurushi vya TTCL , tatizo ninapoishi mtandao wa TTCL unazingua sana network huwa najiuliza sehemu gani ya DAR hii kuna network strong ya TTCL niwe naendaga hapo na laptop yangu kwenye kihotel, mgahawa wa karibu na hapo niwe nadownload siku nzima maana nina video za kudownload kama terabyte hivi
Nitafute weekend nikupeweke kwenye zuku udownload utakavyo
 
Kasi internet service only for Vodacom user

–Kasi 30GB unlimited+30GB Night Bonus =For only Tshs-50,000Then after bundle deplete before month end speed will throttles to 1mbps and will keep the customer connected for 30days.
*Free Mifi

–Kasi 60GB unlimited+60GB Night Bonus -For only Tshs-85,000. Then after bundle deplete before month end speed will throttles to 1mbps and will keep the customer connected for 30days.
*Free Router

–Kasi 100GB unlimited +100GB Night Bonus=For only Tshs-120,000. Then after bundle deplete before month end speed will throttles to 5mbps and will keep the customer connected for 30days.
*Free Router

Note:
–It’s a shared
* Only for Vodacom user's

Check 0744355811 to connect
 
Hio 1mbps ina ushahidi? Ungeweka ushahidi wake utapata wateja wengi mkuu.
 
Back
Top Bottom