Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wakuu kuna mtu anaitwa mambo ya nyakati amenitapeli sh 20,000 kwa makubaliano kwamba nimtumie aniunge kifurushi.

Nilikuja kutoa onyo hapa ili watu wengine wasimtumie kabla ya kuunganishwa na huduma, Sasa imekuwaje sizioni hizi charting zetu ambazo zilikuwa hapa leo?

Je zimefutwa au imekuwaje hazionekani?
Maxence Melo
 
Huko juu watu tulikuwa na mashaka nae sana,naona ukaamua uingie King mwenyewe
 
Unamtumiaje Mtu Pesa Wakati Hujawa na Uhakika kama si Tapeli.?
 
Wwe umetapeliwa kizembe sana. Ila ndio ujifunze. Uache kukurupuka siku nyingine uwe unapitia Na Thread za Nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…