Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
mapema sana jtatu ntakuwa paleNa kiasi cha kifurushi unachounga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mapema sana jtatu ntakuwa paleNa kiasi cha kifurushi unachounga
Huko juu watu tulikuwa na mashaka nae sana,naona ukaamua uingie King mwenyeweWakuu kuna mtu anaitwa mambo ya nyakati amenitapeli sh 20,000 kwa makubaliano kwamba nimtumie aniunge kifurushi.
Nilikuja kutoa onyo hapa ili watu wengine wasimtumie kabla ya kuunganishwa na huduma, Sasa imekuwaje sizioni hizi charting zetu ambazo zilikuwa hapa leo?
Je zimefutwa au imekuwaje hazionekani?
Maxence Melo
c walitoa onyo aseeeeKiongozi wetu Maxence Melo kuna mtu anajiita mambo ya nyakati anataka kukuharibia dhumuni la jukwaa letu pendwa.
Anajitangaza kuwa anaunganisha vifurushi lakini baada ya kumtumia hela anatoweka. Tunakuomba umchukulie hatua mkuu
afu jamaa linalitia likes kbsa daaaaaaaahHuko juu watu tulikuwa na mashaka nae sana,naona ukaamua uingie King mwenyewe
Ulihitaji uungwe mtandao gan mkuu?Kiongozi wetu Maxence Melo kuna mtu anajiita mambo ya nyakati anataka kukuharibia dhumuni la jukwaa letu pendwa.
Anajitangaza kuwa anaunganisha vifurushi lakini baada ya kumtumia hela anatoweka. Tunakuomba umchukulie hatua mkuu
Mzee unataka uingizie na wewe hapa hapa? mara moja inatosha muachen apumzikeUlihitaji uungwe mtandao gan mkuu?
Dah, kayakanyagaa, watu walishasema ni tapeli long timeHuko juu watu tulikuwa na mashaka nae sana,naona ukaamua uingie King mwenyewe
kwani vifurushi visivyo rasmi havipo?Mzee unataka uingizie na wewe hapa hapa? mara moja inatosha muachen apumzike
Jamaa akiona kimya anaanza kusumbua kupiga simu[emoji38][emoji38]c walitoa onyo aseeee
Tigo au voda mkuuUlihitaji uungwe mtandao gan mkuu?
Ulikuwa unataka kusemaje mkuuUlihitaji uungwe mtandao gan mkuu?
😀Ulikuwa unataka kusemaje mkuu
Unamtumiaje Mtu Pesa Wakati Hujawa na Uhakika kama si Tapeli.?Wakuu kuna mtu anaitwa mambo ya nyakati amenitapeli sh 20,000 kwa makubaliano kwamba nimtumie aniunge kifurushi.
Nilikuja kutoa onyo hapa ili watu wengine wasimtumie kabla ya kuunganishwa na huduma, Sasa imekuwaje sizioni hizi charting zetu ambazo zilikuwa hapa leo?
Je zimefutwa au imekuwaje hazionekani?
Maxence Melo
Wwe umetapeliwa kizembe sana. Ila ndio ujifunze. Uache kukurupuka siku nyingine uwe unapitia Na Thread za NyumaWakuu kuna mtu anaitwa mambo ya nyakati amenitapeli sh 20,000 kwa makubaliano kwamba nimtumie aniunge kifurushi.
Nilikuja kutoa onyo hapa ili watu wengine wasimtumie kabla ya kuunganishwa na huduma, Sasa imekuwaje sizioni hizi charting zetu ambazo zilikuwa hapa leo?
Je zimefutwa au imekuwaje hazionekani?
Maxence Melo
ha haaaa yupo moto kinyamaJamaa akiona kimya anaanza kusumbua kupiga simu[emoji38][emoji38]View attachment 2353407
Vp ulipata mashuuda wa hii kitu tuje nasi kujiungaNikipata mashaidi watatu wakongwe wakinithibitishia hili,nakuja mimi na wateja 4
N.B Akiwa chief-mkwawa peke yake au MWL.RCT akinithibitishia hili nakuchek fasta