Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ok, for assuming unahisi watatumia watu zaidi ya wangapi per single connection ili nikujuze router inayofaa.
 
Hii sio promo ya ofa. Ni swali wakuu.


Start of quotation

"OFA OFA OFA KWA LINE ZA HALOTEL TU

CUG BUNDLES YA SIKU 30

15,000
GB 6
SMS 600
DAKIKA 550
VOCHA YA 8,000 - 9,000


25,000
GB 15
SMS 1000
DAKIKA 1100
VOCHA YA 17,000 - 19,000

Nb: hii vocha unaweza kujiunga tena kifurushi chochote kile."

End of quotation



Wakuu hi sio tangazo. Ni swali.
Hii kitu ipo? Nimeikuta kwenye groups kadhaa.
 
Wafuate wakupige za kichwa
 
Ipo mkuu

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Ipo ,natumia
 
Ukiona hivyo wamejiunga baada kushindwa Biashara.
Millcom International (Tigo) waliamua kuuza biashara yao yote ya Afrika so kwenye nchi mbalimbali wameuza kwa wawekezaji mbalimbali mfano hapa bongo imenunuliwa na Rostam Aziz (Axian Telco)

Tigo ya Ghana ikanunuliwa na Airtel Ghana

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Usipate unyonge njoo nikupe connection hiyo line usiitupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…