Tempest
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 245
- 430
Inapiga kazi uhakika? au ina limit sana speed kama zingine hiziSNI Bug Host Generator Lists for Your Country
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapiga kazi uhakika? au ina limit sana speed kama zingine hiziSNI Bug Host Generator Lists for Your Country
Ok, for assuming unahisi watatumia watu zaidi ya wangapi per single connection ili nikujuze router inayofaa.Mkuu kwa ushauri wako, niko kutafuta mesh router yenye uwezo wa kuhudumia watu wengi kwa hapa nilipo ofisin floor ya chini yote na ghorofa mbili za juu...naomba unishauri ni ipi inawez kunifaa, nipo naiangalia hii hapa(tp-link deco s4) ila sina uhakika nayo sana kw specification zake, naona km italemewa, ht hivo mimi sjawahi tumia hizi mesh so sina uzoefu nazo, I need some advice...asante chief
Wafuate wakupige za kichwaHii sio promo ya ofa. Ni swali wakuu.
Start of quotation
"OFA OFA OFA KWA LINE ZA HALOTEL TU
CUG BUNDLES YA SIKU 30
15,000
GB 6
SMS 600
DAKIKA 550
VOCHA YA 8,000 - 9,000
25,000
GB 15
SMS 1000
DAKIKA 1100
VOCHA YA 17,000 - 19,000
Nb: hii vocha unaweza kujiunga tena kifurushi chochote kile."
End of quotation
Wakuu hi sio tangazo. Ni swali.
Hii kitu ipo? Nimeikuta kwenye groups kadhaa.
Ipo mkuuHii sio promo ya ofa. Ni swali wakuu.
Start of quotation
"OFA OFA OFA KWA LINE ZA HALOTEL TU
CUG BUNDLES YA SIKU 30
15,000
GB 6
SMS 600
DAKIKA 550
VOCHA YA 8,000 - 9,000
25,000
GB 15
SMS 1000
DAKIKA 1100
VOCHA YA 17,000 - 19,000
Nb: hii vocha unaweza kujiunga tena kifurushi chochote kile."
End of quotation
Wakuu hi sio tangazo. Ni swali.
Hii kitu ipo? Nimeikuta kwenye groups kadhaa.
Mtandao gani
Ila changamoto iko katika kumpata mtu sahihi, wa kukuwezesha.
Huku kwetu Esim bado haijafikaView attachment 2441708
Kumbe kuna huu mtandao ghana sikuwahi kujua aisee (airteltigo)
Ipo ,natumiaHii sio promo ya ofa. Ni swali wakuu.
Start of quotation
"OFA OFA OFA KWA LINE ZA HALOTEL TU
CUG BUNDLES YA SIKU 30
15,000
GB 6
SMS 600
DAKIKA 550
VOCHA YA 8,000 - 9,000
25,000
GB 15
SMS 1000
DAKIKA 1100
VOCHA YA 17,000 - 19,000
Nb: hii vocha unaweza kujiunga tena kifurushi chochote kile."
End of quotation
Wakuu hi sio tangazo. Ni swali.
Hii kitu ipo? Nimeikuta kwenye groups kadhaa.
Ni kweli,vizur ukipata mtu ambae kuna watu wanamtumia..kuna mmoja mie nimeunga kwake.Ila changamoto iko katika kumpata mtu sahihi, wa kukuwezesha.
Night bundle 1500. Nilimaliza kuunlock router yangu ya Halotel R6601 kipindi hicho nianze kula maisha. Kifurushi kikafutwaKumbukizi..[emoji24][emoji24]View attachment 2473880
Millcom International (Tigo) waliamua kuuza biashara yao yote ya Afrika so kwenye nchi mbalimbali wameuza kwa wawekezaji mbalimbali mfano hapa bongo imenunuliwa na Rostam Aziz (Axian Telco)Ukiona hivyo wamejiunga baada kushindwa Biashara.
Ninazo hizi Mwl kama kuna mtu anahitaji akutumie wewe pesa kwanza then anaungwa halafu wewe ndio una release pesa baada ya kuwa ashapata.Ila changamoto iko katika kumpata mtu sahihi, wa kukuwezesha.
Usipate unyonge njoo nikupe connection hiyo line usiitupeHivi kwa sasa ni kampuni gani ya simu ambayo inatoa vifurushi rahisi vya internet (MBs nyingi kwa pesa kidogo)? Naona kampuni zote zimeamua kukaa kikao cha pamoja kutukandamiza sisi watumiaji kila kukicha ili tukose mahalli pa kukimbilia. Mwanzoni halotel walikuwa nafuu lakini juzi walishusha kiasi cha kifurushi kutoka 10 GB kwa Tsh 10,000 hadi 4.9 GB. Yaani hawa umbwa wameniudhi kweli hadi nimeamua kurudi Vodacom bila kupenda.
Gharama kiasi gan??Usipate unyonge njoo nikupe connection hiyo line usiitupe
Tsh ngapiUsipate unyonge njoo nikupe connection hiyo line usiitupe