Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mitaa ya mbezi kwembe huku naona Kuna waya za ttcl adsl maana ni kwenye nguzo zile zimeingia dawasa nyingine zimeingia ndani ndani Kuna shule ya kiongoz huko wamepeleka , na mara nying wanasemaga hawajafika kule m nipo kama M600 kutoka hapo
Shida service zao mpka kuwabembeleza sanaaaa inachosa sometimes
Na wanatakaga mpka waya zipite nje kwako sipo sure kama wanaweza kusogeza mita zote hizo

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
AIRTEL SME BANDO!!!!!
VIGEZO:
1.TIN ( hata kama huna nakutengenezea kwa buku tu AU kama ukileta mtu yeyote nakutengenezea BURE.
Muhimu uwe na Namba ya NIDA

2. picha ya Passport size.

3. Lain unayotaka kuungwa.

4. Utachangia 10000 tu kwa zoezi zima la kuungwa. Ambapo utakuwa unaweza kufikia hio menu wewe mwenyewe na kuchagua kipi cha kujiunga!

Nicheki:
piga/whatsapp: 0710535327

NB: Uaminifu ni kitu kidogo, UNAWEZA LIPIA BAADA YA KAZI

 

Attachments

  • IMG_20230202_092935.jpg
    43.1 KB · Views: 53
MALIPO BAADA YA KAZI
Tatizo lenu wabongo ni uaminifu kuna jamaa alinitapeli elfu 12 nilimtumia KWA ajili ya kuniunganisha kifurushi cha internet tena anatumia namba ya Lipa KWA M-pesa sasa hela zingine haziliki kizembe mtu utakuja kupata madhara yasiyoisha ukaipa familia mzigo....kama wewe sio TP Mungu akusaidie ufike mbali sasa hivi siamini mtu kabisa online,labda uso KWA uso wabongo sio.
 
Ni Kweli, Ndio mana mimi NAPOKEA MALIPO BAADA YA KAZI, nakuunga ndio unanilipa.
Ukinitapeli, Ni sawa ila Shida huwa haziishi
 
Hii ni ya kweli na kupitia mtu anayeunganisha.. nmeunganishia watu watano na wanaenjoy kwa sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…