Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Bado nakuna kichwa hapa

270K nafikiria niwe na mbinu ya kuifanya internet izalishe.

Nikiweza kupata walau vichwa kadhaa wa kushea hapo itanipunguzia mzigo kiasi fulani
Huku kinondoni wanaleta? Na ni ulimited kweli? Jumatatu waniletee hii kitu.
 
Dah! Ninatamani kuchukua hiyo tena kifurushi cha 50 mbps (maaana haya maswala ya mkataba siyapendi) , lakini ninashindwa kuacha supakasi yangu ya 4G kwa sababu umeme ukikatika modem inaendelea kupiga kazi.
 
Hata hii Router ina store charge unaweza kuitumia popote pale.

Kama ndio hivyo basi hii itakuwa poa kwako kwasababu ina 5G na vifurushi vyake viko cheap kiasi kulinganisha na Voda.
 
Wajomba baada ya kuangaika kutafuta internet kwa mda mrefu sasa nimefanikiwa kupata ya hawa jamaa wanaitwa net solution...speed ni 20mbps nishatumiwa invoice kwa ajili ya malipo ni laki 77 kwa miezi mitatu..wamepita huku uswahilini kwetu.
 
Hapo unajidanganya labda upate mtaalamu wa DNS akufungie DNS ili watu wasiweze kutumia baadhi ya website..Pia unaweza kununua WI-FI booster au Extender kama wengi wanavyoiita

Lakini pia unaweza kushauri wateja wako wanunua Wi-Fi afapter dongle ni 15k tu zile ndogo zenye antenna unaweka kwenye PC
 
Hongera mi niliwatafuta wakasema kwa maeneo niliyopo hakuna fiber

Kwa hiyo labda wanifungie ya satelite ambayo installation ni laki 5 halafu package ni 88,500

Hongera mi niliwatafuta wakasema kwa maeneo niliyopo hakuna fiber

Kwa hiyo labda wanifungie ya satelite ambayo installation ni laki 5 halafu package ni 88,500

View attachment 2727431
Daaah polee kaka.mimi sasa nitarelax kidogo 20mbps kwa 59000 si haba.hapa nishapata wadau wangu watano hapa home so tutagawana kulipa[emoji16][emoji16]
 
Hata hii Router ina store charge unaweza kuitumia popote pale.

Kama ndio hivyo basi hii itakuwa poa kwako kwasababu ina 5G na vifurushi vyake viko cheap kiasi kulinganisha na Voda.

Kweli bro? Unafahamu model number ya 5G modem hii maana kama inakaa na chaji basi hii ndiyo kimbilio langu. Nitatest kama 5G inashika hapa home.
 
Kweli bro? Unafahamu model number ya 5G modem hii maana kama inakaa na chaji basi hii ndiyo kimbilio langu. Nitatest kama 5G inashika hapa home.
Yap nimezihakiki kwa macho yangu kabisa zinatunza chaji Mkuu
 
Dah! Ninatamani kuchukua hiyo tena kifurushi cha 50 mbps (maaana haya maswala ya mkataba siyapendi) , lakini ninashindwa kuacha supakasi yangu ya 4G kwa sababu umeme ukikatika modem inaendelea kupiga kazi.
Mkuu kwema?, Hebu nipe feedback ya hii supakasi,.. iko njema?
 
Hawa jamaa wa Liquid nao wana bei nzuri, sema Fiber yao inaonekana haifiki sehem nyingiView attachment 2727668
Sio maeneo hawa wanafunga majengo halafu wanaringa balaa, mi nipo nyumba ya pili tu ya jengo waliloleta Fiber unabembeleza hadi unachoka, wanafunga maghorofa makubwa yenye watu wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…