Yupo mwanangu anaitumia na iko freshbro line ya halotel inayouzwa 15k,umejaribu ikafanya kazi?
Change password tuMkuu sasaiv unatumia 5G router kama Mimi embu nipe mbinu ya kuhide password au Ile qr code isionekane
Safi sana mkuu, naona ttcl ushawatema🤣🤣Kuna muda inapiga mpaka 2.7 MbpsView attachment 2758402
Miyeyusho sana unaomba huduma kama unaomba kuchangiwa figo bwana.Safi sana mkuu, naona ttcl ushawatema🤣🤣
Mi nawaskilizia hii october nione itakua vp, lasivyo tutaunganaMiyeyusho sana unaomba huduma kama unaomba kuchangiwa figo bwana.
Nimeanua kuachana nao na siku wakinitumia email nitawandikia mkeka mrefu.
Halafu kwenye attachment ntaweka na picha ya Router ya Airtel, wakome.
Majibu yao waliyonipa juzi ndio yaliyo nikatisha tamaa.Mi nawaskilizia hii october nione itakua vp, lasivyo tutaungana
Ndiyo yule amekupa router bure kwa kusubscribe kifurushi cha 110k mkuu?Nimeamua nichukue tu Router ya Airtel baada ya jamaa kunihakikishia kuwa package ya 70,000 nitaweza kuipata baada ya hii package ya 110,000 kuisha.
Kaniambia ni uhakika
hilo sio tatizo,nikihitaji hiyo huduma niwe na nini??Yupo mwanangu anaitumia na iko fresh
Ishu ni kwamba haipigi wala kutuma meseji.
Halafu hata namba yenyewe haipo.
Ukiminya *106# kuangalia usajili haikuletei namba halisi ya simu
Huyu ni mwingine Mkuu baada ya kunihakikishia kwa 100% kuwa kikiisha nitakuwa na uwezo wa kulipia 70,000 nikaamua nijitose.Ndiyo yule amekupa router bure kwa kusubscribe kifurushi cha 110k mkuu?
Naomba niunganishe naye nami niipate hii mkuu.
Kuna post niliweka ikiwa na screenshot ya tangazo ambalo lina information za hivyo vifurushi.hilo sio tatizo,nikihitaji hiyo huduma niwe na nini??
Vodashops pia wanatoa router "bure", ila unalazimika kulipia kifurushi cha 115,000/- kila mwezi. Hii ni unlimited, kwa maana ya kwamba kifurushi hakuna kuisha. Ndicho ninachotumia mimi kwa sasa, na stream kia kitu bila shida.Ndiyo yule amekupa router bure kwa kusubscribe kifurushi cha 110k mkuu?
Naomba niunganishe naye nami niipate hii mkuu.
shukrani boss,next week tutafanya mpango huo,now nipo moroKuna post niliweka ikiwa na screenshot ya tangazo ambalo lina information za hivyo vifurushi.
Lakini hii haijitaji uwe na tin, wala leseni
Mchawi Nida tu na kibunda
Wale kausha damuMiyeyusho sana unaomba huduma kama unaomba kuchangiwa figo bwana.
Nimeanua kuachana nao na siku wakinitumia email nitawandikia mkeka mrefu.
Halafu kwenye attachment ntaweka na picha ya Router ya Airtel, wakome.
Hii hata mimi natumiaVodashops pia wanatoa router "bure", ila unalazimika kulipia kifurushi cha 115,000/- kila mwezi. Hii ni unlimited, kwa maana ya kwamba kifurushi hakuna kuisha. Ndicho ninachotumia mimi kwa sasa, na strem kia kitu bila shida.
Watatoana damuChief-Mkwawa Voda nae katapika ndoano kwa airtel
Ngoja nimcheki mkuu..Huyu ni mwingine Mkuu baada ya kunihakikishia kwa 100% kuwa kikiisha nitakuwa na uwezo wa kulipia 70,000 nikaamua nijitose.
Ila requirement lazima uwe na tin, leseni ya biashara na namba ya Nida.
+255 685 503 314
Hawa wakitaka wabebe wateja wote, wafanye 20Mbps kwa 80k/85k..Chief-Mkwawa Voda nae katapika ndoano kwa airtel
Voda iko vizuri ngoja tuendelee kusoma hii battle ya hizi kampuni.Ngoja nimcheki mkuu..
Ila kama na voda wameongeza package ya 70k, basi hawa airtel hawana bahati maana voda hawanaga kazi mbovu[emoji3][emoji3]
Hapo bado tunawasubiri Tigo na Halotel nao waje na packages zao...
Kitawaka[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hawa wakitaka wabebe wateja wote, wafanye 20Mbps kwa 80k/85k..
Wataondoka na kijiji chooote[emoji736]