Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Airtel saiv kipo hadi cha buku gb 1 kwa mifi yaoMimi nimeziharibu na kuzitupa MiFi za Airtel, Smile, Tigo na Halotel.
Nimebakiza za Vodacom na Ttcl.
Mtandao wa Airtel saa zingine unasumbua nikaona ngoja niachane nacho kama ilivyo kwa Tigo na Halotel.Airtel saiv kipo hadi cha buku gb 1 kwa mifi yao
Vodacom wagumu sana hawa jamaa hadi ukienda kule umasaini ndani ndani mtandao unashika ndo maana nawakubali sana Airtel kama eneo lako lipo fres haizingui inakuwa na kasi sanaMtandao wa Airtel saa zingine unasumbua nikaona ngoja niachane nacho kama ilivyo kwa Tigo na Halotel.
Smile walinirumia sms wako kwenye mchakato wq kuchukuliwa na Vidacom na mbaya ukienda nje ya miji haipatikani na hipo mikoa michache.
Kabisa kaka nayo ni nzuri mnoNimemaliza kusoma comments zotee.
Maamuzi:
Nitajiunga na hiyo unlimited ya Airtel 70k kwa mwezi.
Internet speed ina mambo matatuUnaposema wired ping ina maana gani???
Tuko pamoja..Nimemaliza kusoma comments zotee.
Maamuzi:
Nitajiunga na hiyo unlimited ya Airtel 70k kwa mwezi.
Jewel in the crown👍Router mkuu, ya Vodacom 5GView attachment 2765873
Hivi mkuu Chief-Mkwawa:
a)Kwa hapa Tanzania IPTV provider mzuri ni yupi?
b)Nikitaka kuangalia TV kupitia IPTV ni lazima niwe na IPTV provider mwenye leseni ya kutoa huduma Tanzania?
Iptv za Tanzania ambazo zimesajiliwa na ni halali ni kama Dstv now, Azam TV Max, Startimes, Airtel TV, TTCL TV etc.Hivi mkuu Chief-Mkwawa:
a)Kwa hapa Tanzania IPTV provider mzuri ni yupi?
b)Nikitaka kuangalia TV kupitia IPTV ni lazima niwe na IPTV provider mwenye leseni ya kutoa huduma Tanzania?
Mkuu, kwenye kujiunga na Vodacom 5G, ukitumia Tin number ya kawaida ile ya kutengeneza kwenye portal ya TRA, (non business) wanakubali hao vodacom?Vodacom wagumu sana hawa jamaa hadi ukienda kule umasaini ndani ndani mtandao unashika ndo maana nawakubali sana Airtel kama eneo lako lipo fres haizingui inakuwa na kasi sana
Ndio mzeeMkuu, kwenye kujiunga na Vodacom 5G, ukitumia Tin number ya kawaida ile ya kutengeneza kwenye portal ya TRA, (non business) wanakubali hao vodacom?
Okay sawa mkuu, shukrani sanaNdio mzee
Pamoja kakaOkay sawa mkuu, shukrani sana
Dah nimejaribu kutuma..ila meseji haziendi japo nna bando la meseji za kutosha TU tatizo linaweza kuwa ni Nini?BURE kwenda namba 15066
Hakika hutajutia, ila utajilaumu kwa nini umechelewa kujiunga.Nitajiunga na hiyo unlimited ya Airtel 70k kwa mwezi.
Hivi mkuu around 50$ ni android box tv ipi nzuri kwa sasa?Iptv za Tanzania ambazo zimesajiliwa na ni halali ni kama Dstv now, Azam TV Max, Startimes, Airtel TV, TTCL TV etc.
Zile Iptv unazoziona zinaonesha mpira, movies za nchi mbalimbali most of time sio HALALI.
Unaweza angalia iptv yoyote unayotaka mwenyewe. Ila dstv kwa za halali wapo vizuri sana, kuna content za Ki Africa za kutosha.
Option ya kwanza:Hivi mkuu around 50$