Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mtandao wa Airtel saa zingine unasumbua nikaona ngoja niachane nacho kama ilivyo kwa Tigo na Halotel.

Smile walinirumia sms wako kwenye mchakato wq kuchukuliwa na Vidacom na mbaya ukienda nje ya miji haipatikani na hipo mikoa michache.
Vodacom wagumu sana hawa jamaa hadi ukienda kule umasaini ndani ndani mtandao unashika ndo maana nawakubali sana Airtel kama eneo lako lipo fres haizingui inakuwa na kasi sana
 
Unaposema wired ping ina maana gani???
Internet speed ina mambo matatu
-speed ya kudownload (unapakua vitu haraka kama movies, series etc)
-speed ya ku upload (hii ni ya streamer na creator wengine kama wanao upload video YouTube)
-Hio ping

Ping ni ule uharaka wa wewe kuomba kitu mpaka ukatumiwa. Chukulia mfano unaongea video call inabidi vitu viwe real time, ukiomba video kwenye server Na uletewe haraka. Ping Inapimwa na muda mfano screenshot Za watu humu nyingi Unaona zinaandika 30ms huo ni muda unamaanisha kila 0.03 sekunde unaweza pokea kitu kwenye server.

Mfano mwengine ni kwa sisi tunaocheza magame, kila pasi unayopiga, kila chenga, kila shuti, inabidi Mwenzako alione hapo hapo ili akukabe, so ping inabidi iwe vizuri.

Mtu anaposema wired ping ni kwamba ping inaathiriwa na kitu chochote wireless, inaweza kuwa internet yako ama router yako, hivyo unapoconect computer ama ps5 yako Na Ethernet cable badala ya wifi unapata ping nzuri, na kama source ya internet ni fiber ina maana internet yako inakua full wired.
 
Hivi mkuu Chief-Mkwawa:

a)Kwa hapa Tanzania IPTV provider mzuri ni yupi?

b)Nikitaka kuangalia TV kupitia IPTV ni lazima niwe na IPTV provider mwenye leseni ya kutoa huduma Tanzania?
Iptv za Tanzania ambazo zimesajiliwa na ni halali ni kama Dstv now, Azam TV Max, Startimes, Airtel TV, TTCL TV etc.

Zile Iptv unazoziona zinaonesha mpira, movies za nchi mbalimbali most of time sio HALALI.

Unaweza angalia iptv yoyote unayotaka mwenyewe. Ila dstv kwa za halali wapo vizuri sana, kuna content za Ki Africa za kutosha.
 
Nitajiunga na hiyo unlimited ya Airtel 70k kwa mwezi.
Hakika hutajutia, ila utajilaumu kwa nini umechelewa kujiunga.
1696139371035.png

- Wameturahisishia maisha pakubwa sana!
 
Iptv za Tanzania ambazo zimesajiliwa na ni halali ni kama Dstv now, Azam TV Max, Startimes, Airtel TV, TTCL TV etc.

Zile Iptv unazoziona zinaonesha mpira, movies za nchi mbalimbali most of time sio HALALI.

Unaweza angalia iptv yoyote unayotaka mwenyewe. Ila dstv kwa za halali wapo vizuri sana, kuna content za Ki Africa za kutosha.
Hivi mkuu around 50$ ni android box tv ipi nzuri kwa sasa?
 
Hivi mkuu around 50$
Option ya kwanza:
1696148286391.png

ninapendekeza X96 Max+ au Tanix TX3 kwa sababu zina RAM na ROM ya kutosha, waweza angali HD na 4K na bei zake ni ndani ya bajeti yako.

Option ya pili: ( Bajeti kidogo iongezeke hasa kwa MECOOL)​
Xiaomi Mi Box S
1696148140422.png

  • Mfumo : Android 10
  • Ubora wa picha: 4K HDR
  • Ubora wa sauti: Dolby Atmos
  • Vipengele: Netflix, YouTube, Amazon Prime Video, Google Stadia, GeForce Now
Mecool KM6 Deluxe
1696148068532.png

  • Mfumo : Android 11
  • Ubora wa picha: 4K HDR
  • Ubora wa sauti: Dolby Atmos
  • Vipengele: Netflix, YouTube, Amazon Prime Video, Google Stadia, GeForce Now
 
Back
Top Bottom