Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Samahani wakuu.....hivi muhimu ni download iwe kubwa mfano 17 au PING mfano 100

Ipi ni muhimu kuwa kubwa ?
ping inatakiwa iwe ndogo, na download speed iwe kubwa.

ping ni ule muda unaotumia kuomba kitu kwenye server na kuletewa.

mfano unapoingia google kile kitendo cha kuandika google.com na kupress enter ule muda unaosibiria hadi ile site ya google unaiona ndio ping au wengine wanasema latency.

ukiwa na ping ndogo itakusaidia
-kwenye kubrowse
-kuangalia kitu live kama mpira
-kupiga simu online au video call etc.

unaweza ukawa na speed kubwa hata 100mbps ila kama ping yako sio nzuri utashindwa hata kuangalia mpira online.
 

Nimeanza kukuelewa mkuu
Mfano hii PING 27 ms ni ndogo ila kilichoniponza hapa ni download speed ndogo
Si ndio ?
 

Nimeanza kukuelewa mkuu
Mfano hii PING 27 ms ni ndogo ila kilichoniponza hapa ni download speed ndogo
Si ndio ?
hapo vyote vipo sawa mkuu, unless unataka kuangalia video za quality kubwa sana kama full HD au 4K, ila matumizi ya kawaida hio speed na ping ipo sawa.
 
Utajuaje hii PING ni ndogo mkuu inatakiwa iwe kwenye ngapi ili nifanye vyote kama quality video,streaming,downloading speed na vinginevyo?ahsanteh
 
Utajuaje hii PING ni ndogo mkuu inatakiwa iwe kwenye ngapi ili nifanye vyote kama quality video,streaming,downloading speed na vinginevyo?ahsanteh
unaangalia kwenye hio app inaonesha ping kwa mobile data ikiwa chini ya 50ms sio mbaya, internet za waya zinakuwa na ping ndogo zaidi unakuta ni 2ms au 1ms.
 
Wakuu unaweza change tecno j5 kutoka 3g kwenda 4g?,maana nimesikia tetesi iyo kitu yawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…