mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
Kwenye speed wako vizuri hata niliko mimi lakin bando zao sasaTigo 4G
Pamoja hawana 0fa nzuri huwa mara chache naunga bando nikiwa na shida ya live streaming
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye speed wako vizuri hata niliko mimi lakin bando zao sasaTigo 4G
Pamoja hawana 0fa nzuri huwa mara chache naunga bando nikiwa na shida ya live streaming
![]()
za mtandao gani?Mkuu anaetaka laini za chuo ninazo bei maelewano na umbali
vinapatikanaje iviUkiangalia page ya kwanza vilishawekwa humu ila sio mbaya hivi hapa..!!
Kwa siku
![]()
Kwa wiki
![]()
Samahani wakuu.....hivi muhimu ni download iwe kubwa mfano 17 au PING mfano 100Airtel 3.75G
![]()
ping inatakiwa iwe ndogo, na download speed iwe kubwa.Samahani wakuu.....hivi muhimu ni download iwe kubwa mfano 17 au PING mfano 100
Ipi ni muhimu kuwa kubwa ?
ping inatakiwa iwe ndogo, na download speed iwe kubwa.
ping ni ule muda unaotumia kuomba kitu kwenye server na kuletewa.
mfano unapoingia google kile kitendo cha kuandika google.com na kupress enter ule muda unaosibiria hadi ile site ya google unaiona ndio ping au wengine wanasema latency.
ukiwa na ping ndogo itakusaidia
-kwenye kubrowse
-kuangalia kitu live kama mpira
-kupiga simu online au video call etc.
unaweza ukawa na speed kubwa hata 100mbps ila kama ping yako sio nzuri utashindwa hata kuangalia mpira online.
hapo vyote vipo sawa mkuu, unless unataka kuangalia video za quality kubwa sana kama full HD au 4K, ila matumizi ya kawaida hio speed na ping ipo sawa.![]()
Nimeanza kukuelewa mkuu
Mfano hii PING 27 ms ni ndogo ila kilichoniponza hapa ni download speed ndogo
Si ndio ?
Sawa mkuuhapo vyote vipo sawa mkuu, unless unataka kuangalia video za quality kubwa sana kama full HD au 4K, ila matumizi ya kawaida hio speed na ping ipo sawa.
Utajuaje hii PING ni ndogo mkuu inatakiwa iwe kwenye ngapi ili nifanye vyote kama quality video,streaming,downloading speed na vinginevyo?ahsantehping inatakiwa iwe ndogo, na download speed iwe kubwa.
ping ni ule muda unaotumia kuomba kitu kwenye server na kuletewa.
mfano unapoingia google kile kitendo cha kuandika google.com na kupress enter ule muda unaosibiria hadi ile site ya google unaiona ndio ping au wengine wanasema latency.
ukiwa na ping ndogo itakusaidia
-kwenye kubrowse
-kuangalia kitu live kama mpira
-kupiga simu online au video call etc.
unaweza ukawa na speed kubwa hata 100mbps ila kama ping yako sio nzuri utashindwa hata kuangalia mpira online.
unaangalia kwenye hio app inaonesha ping kwa mobile data ikiwa chini ya 50ms sio mbaya, internet za waya zinakuwa na ping ndogo zaidi unakuta ni 2ms au 1ms.Utajuaje hii PING ni ndogo mkuu inatakiwa iwe kwenye ngapi ili nifanye vyote kama quality video,streaming,downloading speed na vinginevyo?ahsanteh
unaangalia kwenye hio app inaonesha ping kwa mobile data ikiwa chini ya 50ms sio mbaya, internet za waya zinakuwa na ping ndogo zaidi unakuta ni 2ms au 1ms.
mbps ni quality unayoangalia, hata na edge unaweza kustream kwa 200kbps (0.2mbps)Mbps iwe kuanzia ngapi??
Airtel kimeo kwenye internet.Kwa nin nihame AIRTEL...[emoji780]hatupimi bando for SURE
Ha!ha! Hivi vitu haviwezekaniWakuu unaweza change tecno j5 kutoka 3g kwenda 4g?,maana nimesikia tetesi iyo kitu yawezekana.