Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Uzuri wa hizo bundle ni economical ila ubaya wake hazina transparent kwakuwa mitandao ya simu bado inataka kudidimiza wateja wake, uhakisia wa namna mitandao ya simh ina-operate its scary ☹️
 
Habari wakuu,naomba muongozo nahitaji nipate kifaa cha internet ambacho ni UNLIMITED.,watumiaji tupo kama 32.Je ni kifurushi cha bei gani kitatufaa kama staff?zingatia kwamba mimi ni mwalimu.🙏🙏
Kachukueni voda hamtajutia ni 120k mnachanga pamoja na kupata huduma.
Kwa ranking za data from telecom naweza weka hivi in terms of speed.
1.Vodacom
2.Halotel
3. Tigo/zantel
4. Airtel
Ila kabla ya
 
Watu 30 kama mnajiweza mara nyingi kutoka 120k mpaka 150K ni kama mna double speed. Mfano Airtel kwa 150k ni 50mbps, kwangu naona hii ina value sana.

Cha muhimu mkuu angalia eneo lako kama kuna 5G, japo 4G pia inakubali ila vyema hakikisha kama 5G ipo, inasaidia sana kubeba capacity kubwa kama yenu.
 
Mkuu unhetoa mfano sabbu Mimi nikenda kwenye lain yangu ya kawaida sizioni hizo optionz za kupata baundle kybwa za internate kwa reasonable price.Actually unakuta 2300 kwa 2 GB aharafu inasiha haraka
Mkuu sikuona hii reply, bado hujapata maelezo , kama bado nikuelezee
 
@Chief -Mkwawa. Msaada nifanye nini hapo App yangu ya X haifunguki.

Hapo wanataka kuhakikisha kama ni wewe, unaweza kulogin na browser ama click hio button ya Authenticate wanaweza kukwambia ufanye kitu fulani kufungua account.
Chief, Inafikia mpaka hatua hii ya mwisho lakini inagoma kufanya kazi.
 
Chukua Tigo. Laini zao zinakubali kwenye simu.

Ila kianzio ndio ukuta wa chuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…